Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Habari zenu Mabro
Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis
Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote
Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga kuanza nayo ni hii data analysis skills so hadi nikimaliza mwezi wa 3 natumaini nitakuwa najua A to Z kuhusu hii kitu
Hadi sasa app nitakayokuwa natumia kujifunzia ni Alison na data kwa ajili ya practices ntatumia kaggle
Na nimepanga kuanza na Excel kwanza
Kama una lolote ambalo unaona litanionesha njia zaidi unaweza kushare au sehemu ambapo naweza kupata resources au website ambazo zinatoa kozi hii for free unaweza kushare pia
Bila kuchoka
Muhimbu usikunje sana Bro tuombeane kheri