Tupeane maujanja ya Excel pitia na huo uzi mkuu, una mambo mazuri
Zijue hizi functions kwanza.
-SUMIF
-SUM'IFS
-IF/IFS (Nested if)
-VLOOKUP,XLOOKUP
-INDEX & MATCH
-SUMPRODUCT
Data analysis
-PIVOT TABLES
-CONDITIONAL FORMATTING
Baadae utakuja kuanza kupiga SPSS na zinginezo ili uwe nondo, ila kwa kuanzia kabisa Excel ndio mpango kabla ya kwingineko.
Kuna vitu vingi kama Power BI, SQL, Python na nyinginezo ila Excel ukiijua inasaidia kwenye hizo zingine, ni kama vile mtu anajifunza kusoma na kuandika lazima ajue irabu na silabi ili iwe rahisi kwake kuunda maneno.Kwn kusoma hii Data analyst inahitaji uwe na background ya kitu gan au hata computer application pekee unaweza?
Kuna baadhi wanazioffer freeHizi si itamlazimu awe na premium subscription je yeye kama mwanafunzi ataweza zimudu kati ya hizo...