Hizi si itamlazimu awe na premium subscription je yeye kama mwanafunzi ataweza zimudu kati ya hizo...Check pia coursera, udemy na Edx
Habari zenu Mabro
Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis
Mkuu hapo kwenye excel ndio msingi anzia hapo.
Tupeane maujanja ya Excel pitia na huo uzi mkuu, una mambo mazuriShukrani Mkuu naanza nayo
Aisee Ubarikiwe mno BroTupeane maujanja ya Excel pitia na huo uzi mkuu, una mambo mazuri
Zijue hizi functions kwanza.
-SUMIF
-SUM'IFS
-IF/IFS (Nested if)
-VLOOKUP,XLOOKUP
-INDEX & MATCH
-SUMPRODUCT
Data analysis
-PIVOT TABLES
-CONDITIONAL FORMATTING
Baadae utakuja kuanza kupiga SPSS na zinginezo ili uwe nondo, ila kwa kuanzia kabisa Excel ndio mpango kabla ya kwingineko.
Pitia huo uzi niliokupa link kaka, usikimbilie kwanza kwenye machat-gpt kabla hujiamasta hiyo excel utakuwa shallow.Aisee Ubarikiwe mno Bro
Komaa mkuu.Sawa Kaka
Nimeona uzi umeshiba nadhani nikiumaliza huu nitakuwa fiti haswaa
Shukrani sana
Amen