MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
[emoji23][emoji23][emoji119]Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais.
Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri.
Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa.
Shamba atanunuliwa maeneo ya Lumbe Kaliua ambapo atajikita katika kilimo cha tumbaku.
Hii ni kwa ajili ya kucounterbalance na wale wanaodhani mama anaupiga mwingi.
Niko safarini kuelekea Kaliua kuanza mchakato wa kupata shamba.
Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuriJana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais.
Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri.
Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa.
Shamba atanunuliwa maeneo ya Lumbe Kaliua ambapo atajikita katika kilimo cha tumbaku.
Hii ni kwa ajili ya kucounterbalance na wale wanaodhani mama anaupiga mwingi.
Niko safarini kuelekea Kaliua kuanza mchakato wa kupata shamba.
Shida yote hiyo ya nini wakati ana kiinua mgongo kinono mpaka kifo kama rais mstaafuKwanini shamba, mimi naona angechangiwa pesa ya kununua mtumbwi aende Kizimkazi kuvua samaki bahari ya Hindi..
Yule mswahili kushika jembe hawezi, jembe amezoea kuliona kwenye picha tu.
Tunataka aondoke kabisa mjini.Shida yote hiyo ya nini wakati ana kiinua mgongo kinono mpaka kifo kama rais mstaafu
Ndoto yake alisema mwenyewe kupaaBadala ya shamba mnunulieni kachopa, anapenda sana kuruka angani
Haondoki hata kwa winchTunataka aondoke kabisa mjini.
Wenzenu washamchangia faster bila ht longolongo.Kwanini shamba, mimi naona angechangiwa pesa ya kununua mtumbwi aende Kizimkazi kuvua samaki bahari ya Hindi..
Yule mswahili kushika jembe hawezi, jembe amezoea kuliona kwenye picha tu.
Mbona Mwalimu Nyerere alirudi Butiama shamba kulima?Shamba atanunuliwa maeneo ya Lumbe Kaliua ambapo atajikita katika kilimo cha tumbaku.
Kwanini unataka alie juani wakati alishatoka huko
Hakuzoea hizo shida zenu.Tumnunulie shamba Lupembe Njombe alime Miti ya mbao huku miti inakua atakuwa analima parachichi.
Atafanikiwa sana.
Tumbaku ni dhambi