MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
- #61
Ndio mkuuKaliya Tabora au kaliya ipi [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuKaliya Tabora au kaliya ipi [emoji23]
Pia inahitaji sana kuni,kwa hiyo miti n lazimaHivi tumbaku inakubali kila mkoa?
Acha tujitese tu mshana maana huu ndio mchezo wa siku hizi, hawa viongozi wetu wanapenda sana kubembelezwa... wacha tumbembeleze aende asijedhani tuko kimya ndio tunamuelewa kama ulivyoandika pale juuShida yote hiyo ya nini wakati ana kiinua mgongo kinono mpaka kifo kama rais mstaafu
Zipo technology zingine Kuni sio lazima mfano kukausha kwa jua,kukausha kwa nishati mbadala,,nkPia inahitaji sana kuni,kwa hiyo miti n lazima
Yapo mtaji wako tu.Mapori vipi ya kutosha tuje
[emoji23][emoji23]Badala ya shamba mnunulieni kachopa, anapenda sana kuruka angani
Ngoja tujongee huko kulima tumbaku,huku tukijitwalia bikra za waarabu wa kinyamweziYapo mtaji wako tu.
Wazo zuriYap,tumfungulie bonge la botik ,Dubai,tumwekee wafanyakazi smart,yeye awe anapigwa kiyoyozi,akichezea miamala tu.