Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

Tangu ampige mpendwa jpm vijembe na kusema watumishi wale kwa urefu wa kamba zao za malisho sina imani naye. Moyoni kwake ni mbinafsi na mfujaji. Nimependezwa na wazo la kuchanga ili kumnunulia shamba astaafu 2025. Ili nchi kuendelea tunahitaji kiongozi aina ya Jpm.
 
Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri
Wale wapuuzi kina kipara wanaojikorombeza kwake wanampoteza sana. Yaani baraza la mawaziri kuna vichwa ila huyu kipara ngoto ndio mjinga anayejiamini bure
 
Tulipomshauri apunguze safari za nje, zinafilisi hazina dollars, akaongeza safari Kwa kutukejeli.

Sasa kiongozi mwenye shingo ngumu wa nini?
 
Bora liende likalime huko
 
Umesahau kuwa ardhi yote ndani ya nchi ipo chini yake ( anaweza kujimegea popote) na pesa yote ni yake (wasaidizi, wapambe na machawa wanaimba hivyo)?
Cha ajabu hao wanaosema anatoa pesa zote wanamchangia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…