bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Utafiti upi umefanywa kwamba hawaamniniWatakuona chizi wenzio hawaamini dini wew wapelekee mambo ya biashara na pesa tu dini baki nayo kwenu africa π
Achana na story za mapanafricanist, missionary walikuja kama waoInaonekana ililetwa na kikundi cha jamaa wachache tu. Waliwaacha wenzao karibu asilimia 90 bila kujua kitu.
Pia wengi waliokuja walikuwa ni mamafia wa kidini, kulainisha njia kwa mabeberu wachache wakina Carl Peters waje wapige madili huku.
Afrika mkuu ni sehemu bora kabisa mwanadamu anapaswa kuishi. Siwezi kupakimbia. Huko kama sio kuwapelekea Injili basi kwenda kutalii tu.
usishike dini, mshike Yesu hutojuta.Nilisha wahi shika dini sana ila nilipochimba zaidi mambo mengi kuhusu hizi imani niliziacha haraka sana .
vice versa is true!Ukifuatilia mazungumzo yote kuhusu dini na imani fulani utagundua kabsa dini na imani ni kirusi cha kuvuruga aman na utulivu duniani.
Wapo wamisionari wengi sana vijana wa kikatoliki na hata madhehebu mengine nchi za Ulaya, America, Asia nk. Jiunge nao uende kuhubiri Enjili duniani kote!Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.
Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.
Nimefikilia hawa wazungu kabla hawajapotea niwapelekee umishonari, niwe na kikosi kazi cha waafrika wachapakazi, Masponsor ni sadaka za waafrika Matajiri na masikini.
Naombeni mawazo jinsi ya kuwapata hawa jamaa kirahisi huko makwao na kwenye mitandao. Kwa sasa ninayo app inayoweza kutengeneza autosubtitles kwa karibu lugha za wazungu wote.
Asante sana, connection zao. Hata linkWapo wamisionari wengi sana vijana wa kikatoliki na hata madhehebu mengine nchi za Ulaya, America, Asia nk. Jiunge nao uende kuhubiri Enjili duniani kote!
Endelea kunywa damu ya yesu mkuu mimi sihitaji kuokolewa master.vice versa is true!
Yesu anaokoa
Una umri upi na elimu umefika level gani? Je wewe ni mkatoliki aliyebatizwa?Asante sana, connection zao. Hata link
Watu wanazidi jitambua mkuu ,cha kuazima hakisitiri matako.usishike dini, mshike Yesu hutojuta.
YESU NI BWANA&MWOKOZI
Kama hadi niwe mkatoliki, basi ntatafuta mfumo tofauti wa kwenda na vijana wangu tuwasaidie hawa jamaa.Una umri upi na elimu umefika level gani? Je wewe ni mkatoliki aliyebatizwa?
Asante sana, ubarikiwe. Mwenyezi Mungu akupe mafuriko ya haja zako.Wazo zuri sana , utawaokoa wengi huko ,
Naskia kuna aina mpya ya BANGI, inaitwa BANGI Pori.. nawasi wasi na mtoa Mada huwenda amepiga "puff" mbili au tatu mapema siku ya leo.
Acha kuandika ujinga mafunuo , mafunuo taka taka tupu nyie watu wa namna hii ni wapumbavu sana mkishindwa swali mnakimbilia mafunuo.haya ni mafunuo, hadi ufunuliwe. ni kazi ya Roho Mtakatifu baada ya mtu kuokolewa. njoo kwa Yesu upate wokovu, uyajue haya na mengine mengi.
Wewe ni mpumbavujina "waKristo" lilianza kutumika pale Antiokia baada ya watu kuwaona wanafunzi wa Yesu wakiwa wanamfanana Kristo ki-mwenendo, ndipo wakawaita waKristo. MATENDO YA MITUME 11:26 c
Sawa pia ila ujue kwamba ule ni mtindo wa maisha wa watu na hawaoni kama kuna shida na wanalindwa na sheria pia. Ukiingilia mfano mambo ya ushoga katika nchi inayohalalisha mambo hayo waweza kujikuta wewe unashtakiwa kwa uhalifu!Kama hadi niwe mkatoliki, basi ntatafuta mfumo tofauti wa kwenda na vijana wangu tuwasaidie hawa jamaa.