matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
Unafungu lolote Yesu hakuja kuleta dini.watu hawajui kuwa uKristo sio dini. uKristo ni maisha yanayotambulisha Kristo. Yesu hakuja kuleta dini duniani bali alikuja kutafuta na kuwaokoa wale waliopotea. (mmojawapo ni mimi). Hivyo Yesu alileta WOKOVU, kwamba watu waokoke, wapate uzima wa milele kupitia kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao.
JESUS IS LORD
Dini ni nini?
Biblia inaelezea dini ya Kweli, kama kuna dini ya kweli basi ya uongo ipo. Na dini ipo.
Shida ninayoiona hapa watu wanatafsiri dini kimagharibi hawahwa wenye tabu. Tutafsiri kiebrania