Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Dah! we acha tu mkuu ni story kdgo acha tu ibaki nyuma ya pazia ila ntajaribu• Shida iko wapi, mpaka umewaza kufanya hivyo mkuu....
• DNA za Tanzania haziaminiki, utapoteza hela tu.
Ni kweli maji yanafika shingoni ila sio kwenye inshu ya maleziInawezekana. Ngumu kumeza. Maji yanafika shingoni.
Nyuma ya pazia tena?Dah! we acha tu mkuu ni story kdgo acha tu ibaki nyuma ya pazia ila ntajaribu
OK sawa mkuu, kama kuna sitofaham, jaribu kufanya hivyo ulivyo waza.Dah! we acha tu mkuu ni story kdgo acha tu ibaki nyuma ya pazia ila ntajaribu
Watoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaisha😭Nobunaga
Ushauri wako tafadhali
Ndo maana nimekutag Nobunaga ...,Barikiwa sanaWatoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaisha😭
Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?
Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
Unawapima ili iweje kaka Yako alikuambia kuwa akifa uwapime au ni umbea unakusumbua .au una mipanga mibaya nyuma ya paziaMwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu km inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbn kwajili ya kusaidia ulezi sababu jmaa bdo ni wadgo.
Nisiende mbali sna nataka kufanya dna kwahawa wtt kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Usikute jamaa anataka ampige pipe🤣Ndugu wa mume gubu sana