physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Huu ndio ushauri sahihi.Ufuate.Watoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaishaðŸ˜
Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?
Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.