Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Hawa watoto safari yao ya maisha itakuwa ngumu sana, hata kama kuna story nyuma ya pazia hapo ushaanza kuona mzigo, unataka kupata uhakika ili utemane na mzigo wa malezi ya watoto wa kaka yako! Nazidi kuamini ndugu wa upande wa baba sio watu
 
Hii ilikuwa haihusiani na wanandugu ni mimi mwenyewe binafsi kuna jambo niligundua kwa huyu bibie ndio ilipekea kuwaza hivi lkn nashukuru baadhi ya washauri wamekata kiu yngu Nobunaga Mkushi Mbishi Etugrul Bey pamoja na Top for B
Kwamba you are more perceptive than your late brother?

Anyway, ni vizuri kama umeamua kuacha familia ya kaka yako ianze maisha mapya kwa amani.
 
Hawataki watoto wa rithi., ndio maana wanatafutiwa sababu baba mzazi hakuwapima we we Nani..??!!
Yaani hawa kina bamdogo sijui bamkubwa, shangazi sio watu bhana hapo ni either anaona mzigo kuwalea kama kaka yake hakuwaachia chochote kitu or mali wanataka wachukue kwa mjane kisa kulikuwa na vistori nyuma ya pazia kwamba watoto sio wa ndugu yao hivo mjane na watoto hawana haki na watafukuzwa akyanani
 
huku umeenda mbali sna hawa madogo kwngu sio mzigo hta japo kipato ni kawaida na mpka baba yao ananikabidhi mimi wakati wa nyakati za mwisho za uhai wake means alikuwa na uhakika na anayemuachia na ndio iko hvyo na kwa baadhi ya maoni ya wadau hili jambo nimeshalifunga
 
Mkuu walee, hutakaa upungukiwe kwa kuwahudumia watoto wadogo🤔🤔mm mzee wangu ana uchumi wa kawaida sana lkn aliwa-adopt watoto watano na anawasomesha fresh tu
 
Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hvi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yngu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.

Nisiende mbali sana nataka kufanya dna kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?
Kwanini kaka yako aliwakubali wanae na hakuwa na mpango wa DNA test au Kunatumaokoto kidogo tunawahusu hao watoto
 
Watoto wametoka kufiwa na baba yao, halafu tena familia inataka kuanza kuwahangaisha😭

Kama baba yao hakuona haja ya kuwapima hao watoto DNA, kwa nini wao watake kuwapima? Shida ni nini?

Kimsingi jamaa aongeze nyama ili apewe ushauri unaoeleweka, ila kwa content aliyotoa, bado hakuna sababu ya msingi ya kupima hao watoto DNA.
Hana lolote anataka kukimbia malez ya madogo
 
Hawa watoto safari yao ya maisha itakuwa ngumu sana, hata kama kuna story nyuma ya pazia hapo ushaanza kuona mzigo, unataka kupata uhakika ili utemane na mzigo wa malezi ya watoto wa kaka yako! Nazidi kuamini ndugu wa upande wa baba sio watu
Ndugu wa upande wa baba ni watu poa sana hasa kwa makabila ya nyanda Za juu kusini
 
𝗛𝗶𝘇𝗼 𝗰𝗹𝘂𝗲𝘀 𝘂𝗹𝗶𝘇𝗼𝘇𝗶𝗼𝗻𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗸𝗮𝗸𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗽𝗶𝗮 𝗮𝗹𝗶𝘇𝗶𝗼𝗻𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 𝗮𝗹𝗶𝗳𝘂𝗻𝗶𝗸𝗮 𝗸𝗼𝗺𝗯𝗲 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗮𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝘂 𝗮𝗽𝗶𝘁𝗲, 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗹𝗼 𝘂𝗻𝗮𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗻𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗮𝗺𝗮 𝗻𝘆𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 𝗹𝗶𝘁𝗮𝘄𝗮𝘂𝗺𝗶𝘇𝗮 𝗵𝗮𝗼 𝘄𝗮𝘁𝗼𝘁𝗼??????
 
Kitanda hakizai haramu. Wewe lea watoto acha story mingi.

Kibaiolojia unachotaka hakiwezekani kirahisi Utapoteza muda na nguvu. Ni mpaka analysis ya hali ya juu ambayo haiwezi kufanyika kwenye labs hizi za kawaida. Inaweza kuchukua mwaka mzima mwanasayansi aliyebobea kuweza kutoa majibu ya uhakika. Je una hela za kulipa? Utaliwa hela tu

Hii ni kwasababu algorithm (vipimo) zilizopo zina angalia mtoto na mzazi tu.
 
Back
Top Bottom