evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Oyaa kama huyo kaka yako aliacha tumali achana navyo hata hiyo familia kama una mashaka nayo ipotezee kwani umelazimishwa kuishi na hao watoto wa marehemu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuta huyo marehemu ameacha Mali anataka kuwazulumuWanandugu mshaanza nongwa!
Achana na hilo wazo. Mtoto ni mtoto, hata kama si damu ya kaka yako. Kama yeye aliwakubali, wewe huna haki ya kuwakataa.Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.
Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya kusaidia ulezi sababu jamaa bado ni wadogo.
Nisiende mbali sana nataka kufanya DNA kwahawa watoto kupitia mimi au babu yao je! Inawezekana?