Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Oyaa kama huyo kaka yako aliacha tumali achana navyo hata hiyo familia kama una mashaka nayo ipotezee kwani umelazimishwa kuishi na hao watoto wa marehemu?
 
Achana na hilo wazo. Mtoto ni mtoto, hata kama si damu ya kaka yako. Kama yeye aliwakubali, wewe huna haki ya kuwakataa.

Kwani vipimo kama hivyo vikishafanywa kwako kuthibitishwa kama wewe ni mtoto wa baba yako?

Usiwatendee wengine usilotaka kutendewa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…