Nataka kughairi kufunga ndoa, zimebaki week 3. Nifanye nini kutimiza azma yangu?

Aiseee angejuwa asingemuacha kukeketa kunazuia mwanamke asichepukechepuke
 
Mwenye kuoa yupo mkoa A, bibi harusi mtarajiwa anaishi mkoa B na wazazi wako mkoa C.

Kuna kitu hutaki kusema ukweli.

Mimi binafsi nakushauri uombe wakuvumilie kwa mwaka mmoja.

Kama haiwezekani oa tu shida yoyote utakayokutana nayo Mungu atakufanyia wepesi na itakuwa ni baraka kwa namna nyingine (blessing in disguise)
 
Asante, ndoa imetangazwa tayar, bado kama safari moja tu ya mwisho mkuu, then send off kwa bi mdada, then marriage

Watakubali kweli?
 
Historia fupi Ni kwamba nimewah fanya kazi huko aliko yeye kabla sijahamishiwa huku niliko, tulijuana naye huko mkoa B katika taasisi mbili tofauti! Wala Sina shda na mwenendo wake, mara kadhaa anakuja huku nliko hasa sku za weekend , but hali ilivyo ndyo hvyo, ngoja nijipe imani na tumaini kama nitashinda
 
Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au kibaya. Ni mtazamo wako na jamii ndiyo Inaleta vitu vibaya.

Imani yangu ni kwamba hata hilo unalodhani linaweza kuwa baya bado Mungu atatoa na mlango wa kutokea.

Nenda google tafuta neno blessing in disguise usome mpaka ulielewe na hutapata shida yoyote hapa duniani
 
Hapana endelea hizo hali huwatokea wengi sana lakini ukivumilia zinapita
 
Tatizo la wanaume wengi wanapotaka kuoa wanafananisha jambo hilo sawa na kuanzisha biashara au kufungua kampuni au kufungua kiwanda.

Kwa maana kwamba mwanamke huyo ni meneja msaidizi hivyo anatakiwa awe na akili sana!

Maisha hayatakiwi kuwa hivyo.

Mke ni msaidizi wako hasa wa kitandani na kulea watoto. Mambo mengine yote ni juu yako.
 
Oa wewe, kwenye hayo maamuzi kila mtu huwa anapata cold feet...

Hakuna ambae aliyeoa bila kujiuliza “nafanya maamuzi sahihi kweli?” bila kuwa na wasi wasi ungekuwa mpuuzi hapo inaonesha wewe ni smart & upo careful

PS Ndoa ikiwa ndoano wana JF hawahusiki ujue 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…