JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Vua nguo tu tembea na boksa jifanye umechanagnyikiwa alfu utoweke kaishi sehemu waendelee kukugonga huko nyuma kama ulivyozoea maana hauna tena uwezo wa kukaa na mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅 hahah mwana kajichanganyaUmegundua sio pisi kali?
Usije ukafosi,ndoa inahitaji maamuzi ya ndani ya moyo wako.Ikija kufika yakakufika yakukufika,ukisema ushirikishe watu,watakwambia uliamua mwenyewe,hivyo vumilia.Kwanza sikai home, nipo mkoa X kikazi, home ni mkoa Z, na mwenza ni mkoa Y yupo kikazi!
Kwa hiyo mambo yanayoendelea kule nayadaka kwa simu tu, na mahitaji yote natuma note! Ila Sasa naishiwa nguvu , na nakosa raha na Jambo langu
Mbona unamtukana sasa?Vua nguo tu tembea na boksa jifanye umechanagnyikiwa alfu utoweke kaishi sehemu waendelee kukugonga huko nyuma kama ulivyozoea maana hauna tena uwezo wa kukaa na mwanamke
Kwani mimi nimemtukana Mkuu. ni ushauri wangu tu kwake kwamba akendelee kupumuliwa kisogoni aachane na ndoaMbona unamtukana sasa?
Haipendezi kumtukana mtu tena ambaye kwe.nye comments zote,hajaonyesha kukuvunjia heshima.Heshimu wenzako tafadhari.
Kwani unamjua hadi umwambie akaendelee kupumuliwa?kwani mimi nimemtukana Mkuu. ni ushauri wangu tu kwake kwamba akendelee kupumuliwa kisogoni aachane na ndoa
Shukran kwa ushaur wako mkuu!Oa wewe, kwenye hayo maamuzi kila mtu huwa anapata cold feet...
Hakuna ambae aliyeoa bila kujiuliza “nafanya maamuzi sahihi kweli?” bila kuwa na wasi wasi ungekuwa mpuuzi hapo inaonesha wewe ni smart & upo careful
PS Ndoa ikiwa ndoano wana JF hawahusiki ujue [emoji28]
Asante mkuu, ntatoa mrejesho Nini maamuzi yangu!Tafuta msaada wa kiroho haraka, isijekua mmoja wenu ana spiritual spouse ndio analeta kauzibe. Au ni Mungu anataka kukuokoa, tafadhali mshirikishe mchungaji wako mapema ila kwa Mimi mwana jf mwenzio nakuombea mapenzi ya Mungu yatimie. Kama ni mapenzi ya Mungu kumuoa basi umuoe ila kama sio mapenzi ya Mungu basi moyo ukatae had dakika ya mwisho usimuoe.
Asante mkuu, naupokea kwa mikono yote ushaur wakoTambua kuwa amani ya moyo ndiyo jibu la uhakika ktk kufanya maamuzi ya kutaka kuoa . Usithubutu kuoa kama huna amani ya moyo ndani yako . Lakini pia Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko ndoa yenye mateso iliyokosa furaha , amani na upendo . Kuhusu mahali ipotezee tu ( Nami ilikuwa hivyo hivyo ) . Mwanadamu usimwonee aibu katika kusema ukweli maana mateso utayapata wewe . Enough
Shukran Sana mkuu kwa ushaur wako, naufanyia kaziAchana nalo hilo jambo, huwezi jambo ambalo moyo unasita, achana nalo! Kuoa sio lazima. Kama umesha toa mahari, mchukue bnti ishi naye, wala usifunge ndoa. Baada ya miaka kadhaa, nenda kanisani na mkeo mkabariki ndoa yenu, mkiwa wawili tu simple life.
Kajieleze kwa wahusikaKwa namna gani mkuu?