Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nalo hilo jambo, huwezi jambo ambalo moyo unasita, achana nalo! Kuoa sio lazima. Kama umesha toa mahari, mchukue bnti ishi naye, wala usifunge ndoa. Baada ya miaka kadhaa, nenda kanisani na mkeo mkabariki ndoa yenu, mkiwa wawili tu simple life.
Je hari hi haitokani na mkwamo wa kifedha?Mkuu, najiskia mzito, kama Sina aman hivi kadri muda unavyoenda, najiuliza Kuna changamoto gani
Kiimani hilo ni pepo, kemea!Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Kama baba yako yupo hai, wahi fasta kamweleze, ukifuata huu ushauri wangu utakuja kunishukuru.Asante, ndoa imetangazwa tayar, bado kama safari moja tu ya mwisho mkuu, then send off kwa bi mdada, then marriage
Watakubali kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abort mission fasta mkuu kama unaona kabisa ni mission impossible. Jiteke urudi baada ya miezi miwili.
Au mtongoze mama mkwe wako mtarajiwa.
Shauri yako
Umepigiwa bi harusi mtarajiwa?Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Hiki kipindi ndo shetani anakuwaga anapambana sana na wahusika, ahirisha uone kama utapata huo wepesi unaoutafta, yaan utashangaa ilikuwaje ukaamua kuhairisha unless kama kuna kingine labda mtarajiwa umegundua hafai n.k lakin kama syo hvyo shetan anataka kukurudisha nyuma, hata sisi yalitupata hayo tukasali sana na sasa tunafurahia ndoaWakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Wakuu, kama heading inavyosomeka, Nina tarajia kufunga ndoa week tatu zijazo ( tar sitaweka ili kuepusha mambo mengi) lakini ni mwezi huu wa nane.
Kimsingi sidaiwi, taratibu zote nimefuata, mahali nimelipa na kilichobaki Ni siku ya tukio tu kuidhinisha Jambo!
Lakini kwa sasa najisikia mzito sana kwenye hili swala, Yan kifup sielewielewi, nahitaji niterminate mchakato huu, ila nikifikiria maandalizi ya sherehe husika kwa maana ya nyumbani, kanisan na jamii yote kwa ujumla najiuliza nijinasuaje ili nitimize adhma yangu!
Naombeni ushauri wenu katika suala hili!
Asante Sana mkuu kwa ushaur wako, nimeupokeaMkuu, naamini umepita shule. Katika kipindi cha mtihani watu wengi hupata heavyness (uzito) pindi anapo elekea exam room lakini huwez ahirisha mtihani sababu ya huo uzito. Tena unajipa courage kuwa 'utapasua' na unaenda na kufaulu.
Naamini u-mkristo;
Si kila jambo linalokufanya usiwe confortable ni baya, hata katika biblia Jeremiah alifika sehem aligoma kulitamka jina la Mungu kutokana na majanga yaliyokuwa yakitokea pindi atamkapo lkn je, ni jambo baya kutamka jina la Mungu? Jeremia 20: 7-9
Nabii Yona aliagizwa na Mungu aende Ninawi lkn hakuwa comfortable kwenda na akakimbilia sehem nyingine (Tashishi) japo yalikuwa ni maagizo ya Mungu. (Yona 1:1-3)
Kitu kingine kinawagharimu sn vijana ni ile katika ujana wao kutamka kuwa hawataoa au ndoa ni mzigo ama kwa sabab yoyote au mihemko ya company na age.
Maneno ni spirits, by the time unataka kuoa zile spitits (maneno) zinaanza kukuzonga ukitulia peke yako na kukushuhudia kuwa unaenda against na confession yako hvo kukupa uzito sn, ukichanganya na maneno ya washkaji mliyokuwa mnajazana ujinga unaona km unaenda kufanya usaliti juu ya 'wana'.
Shirikisha viongozi wako wa kiroho kwa msaada zaidi.
Kwa kuwa unakiri kuwa binti hana changamoto yoyote so far, Ushauri wangu ni kuwa:
Songa mbele, ndoa ni jambo jema mbele za Mungu. Mpango wa Mungu kuitawala dunia ulianza na ndoa pale bustanini Eden.
Katika vitu shetani anashambulia sn ni pamoja na ndoa kwa kuwa ndoa ni nuclear point ya kanisa, na usisikilize wale wanaokushauri kutokuoa, hayo ni mafundisho ya kishetani (1Timotheo 4:1-3)
Shetani anajua unapokaa bila ndoa maana yake unajiweka katika hatari ya uzinzi lakini pia utapishana na baraka za ndoa ambazo huwezi kuzipata ukiwa peke yako bali pale unapooa (Mwanzo 1:26-28).
Asante Sana mkuu kwa kunipa nguvu na moyo mkuu, Asante SanaHiki kipindi ndo shetani anakuwaga anapambana sana na wahusika, ahirisha uone kama utapata huo wepesi unaoutafta, yaan utashangaa ilikuwaje ukaamua kuhairisha unless kama kuna kingine labda mtarajiwa umegundua hafai n.k lakin kama syo hvyo shetan anataka kukurudisha nyuma, hata sisi yalitupata hayo tukasali sana na sasa tunafurahia ndoa
Asante mkuu, ila stage gani nlivuka katika makuzi, sijaelewa ndgKiimani hilo ni pepo, kemea!
Kisaikolojia hiyo itakiwa aina fulani hivi ya disoder au gamophobia (fear of marriage)
Kijamii itakuwa kuna stage uliivuka katika makuzi!
So, pambana tu. Mambo yatakuwa sawa.
Na huo ni mwanzo tu. Bado kuna phobia nyingine ya kuongeza familia. Usianze kumwambia mtoto wa watu atoe mimba, mara hauko tayari kuwa baba.
Ndoa ni committment, tafuta wanasaikolojia wakusaidie