Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

Hii ndio nafanya.....anayefanya pia tushirikiane mawazo ya kuboresha kipato.....pia mleta uzi ukihitaj abc juu ya hii karb
Vipi muelekeo wa hii biashara, inalipa vizuri kwa upande wako.?
 
Vipi muelekeo wa hii biashara, inalipa vizuri kwa upande wako.?
Iko vizur, mm nina huduma za pesa hapo, nauza naziwa pia, niko na pombe kali pia.....kwa ujumla biashara yyte inawezakukulipa kama utatumia akili ipasavyo (ubunifu).....kingne humu jf naona weng wanatshana tu na wng wap wanaotsha wngne hawana hata experience ya vitendo (direct involvement) kwny biashara husika.....mwsho, fanya biashara unayofurahia pia unayomudu.....
 
Ipo fursa ya kufanya ni biashara ya kuuza mayai yakuchemsha.
Tray moja ni elf8 = 30pc eggs. Ukichemsha mayai na ukauza kwa mia5 for one peace unapata elfu15
Ukitoa mtaji wa elf8, mkaa, chumvi elf1 na mia2. Faida ni elf5 na mia8 kwa tray moja. Cha msingi tegeneza ajira kwa vijana wew unawalipa kwa siku
 
Hii ipo poa
 
Hiv wapi Kuna mzunguko mkubwa wa pombe kwa dar kweli naona mzunguko wa pombe za jumla sio mkubwa sana
 
Ila kula mbususu kimasihara Africans akili zinafanya kazi utadhani Zina Busta.
Zina wachangiaji kibao
Uzi maarufu sana huo nahis Kila alieko jf anaujua huo Uzi wa kula mbususu kimasihara na wengi wao tume shachkua siti pale [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iki kupendeza bro tupe abc hapa.
Kwamba inahitaji uchukue kreti ngap za bia ndo upate kwa hiyo Bei ya jumla na Ni order unafanya wapi???
 
Matajiri wakubwa huwa hawawazi faida unayowaza ww mtoa mada na katika ulimwengu wa biashara itakupa tabu sana mzee!!! Faida ya 2000 ni kubwa sana katika biashara na ubaya zaidi unataka kuingia katika biashara za nguo anbazo kila mtu anauza.. Kwa kukushauri tu fungua duka la mangi kwa siku unaweza kuuza hata items 400 ambazo zitakupa faida ya sh 100/200 . Kikubwa uwe na mtaji na uuze bidhaa zinazohitajika kwa wingi na watu...mfano soda, maji, energy drinks,unga,mchele,maharage,ngano,mafuta n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…