Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Vipi muelekeo wa hii biashara, inalipa vizuri kwa upande wako.?Hii ndio nafanya.....anayefanya pia tushirikiane mawazo ya kuboresha kipato.....pia mleta uzi ukihitaj abc juu ya hii karb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi muelekeo wa hii biashara, inalipa vizuri kwa upande wako.?Hii ndio nafanya.....anayefanya pia tushirikiane mawazo ya kuboresha kipato.....pia mleta uzi ukihitaj abc juu ya hii karb
Iko vizur, mm nina huduma za pesa hapo, nauza naziwa pia, niko na pombe kali pia.....kwa ujumla biashara yyte inawezakukulipa kama utatumia akili ipasavyo (ubunifu).....kingne humu jf naona weng wanatshana tu na wng wap wanaotsha wngne hawana hata experience ya vitendo (direct involvement) kwny biashara husika.....mwsho, fanya biashara unayofurahia pia unayomudu.....Vipi muelekeo wa hii biashara, inalipa vizuri kwa upande wako.?
Hii ipo poaBia jumla
Tuanze na vinywaji pendwa
Serengeti lager ndogo unanunua 23500 unauza 25000
Serengeti lite unanunua 29500 unauza 31000
Hizi zina faida ya 1500 kwa kreti.
Castle lite unanunua 24000 unauza 25000
Kilimanjaro unanunua 24400 unauza 25500
Safari unanunua 27500 unauza 28500
Hizi tbl faida ya kreti ni 1000
Soda
Pepsi jumla unauziwa kreti kuanzia 30..11300 wew unauza 12000 hizi faida 700
Coca kreti jumla kwanzia 50 unauziwa 11200 unauza 12000 faida 800
Maji
Hill lita moja unauziwa 2400 unauza 2700
Na mengineyo faida inarange 300
Masoko tafuta maduka na vipub vidogo vidogo vinavyokuzunguka hvyo ndio vinavyouza kwa sasa fanya delivery hata kwa kreti 2 utawateka..ukipata vipub 10 uhakika kuuza kreti 20+ per day ni uhakikaa.
Nyongeza nunua lipikipiki lakusambazia used
Mtaji ukikua weka pombe kali pia
Hiv wapi Kuna mzunguko mkubwa wa pombe kwa dar kweli naona mzunguko wa pombe za jumla sio mkubwa sanaUzuri wa hii biashara unaiweka popote hata ndani ndani huko kwa frem za elfu 50 kwa sababu wateja unawatafuta mwenyew sio wapita njia..store za watu wanaweka hadi majumbn,
Boda used yenye hali nzuri(injini) 800,000
c/lite 15 360,000
S/lager 15. 352,500
S/lite 15. 442,500
Kill ndogo 10. 245,000
Safari ndogo 10 275,000
Unawez usianze na hizi kama upo dar mzunguko ni mdogo ila ni muhimu kua nazo
Safari kubwa 5
Kill kubwa 5
Plisner 5
Serengeti lagar kb 5
Ma agent wakubwa wanapita kila baada ya siku 2 au 3 kusambaz mzigo inategemea na order za eneo lenu wauzaji wa jumla.
Ukiwa na milion 3 mpka 5 unaweza ukaanza kidogo kidogo
Kreti tupu na chupa zake ni elf 10
Maeneo wanakoishi wachaga na vijana wengi... tabata,kimara,mbezi,goba,tegeta,sinza,kibamba,malamba n.kHiv wapi Kuna mzunguko mkubwa wa pombe kwa dar kweli naona mzunguko wa pombe za jumla sio mkubwa sana
Uzi maarufu sana huo nahis Kila alieko jf anaujua huo Uzi wa kula mbususu kimasihara na wengi wao tume shachkua siti pale [emoji23][emoji23][emoji23]Ila kula mbususu kimasihara Africans akili zinafanya kazi utadhani Zina Busta.
Zina wachangiaji kibao
HiMimi ntamuuzia mayai ya kienyejiView attachment 2270939View attachment 2270940
Hii Ni wapi mzee?Mimi ntamuuzia mayai ya kienyejiView attachment 2270939View attachment 2270940
Iki kupendeza bro tupe abc hapa.Bia jumla
Tuanze na vinywaji pendwa
Serengeti lager ndogo unanunua 23500 unauza 25000
Serengeti lite unanunua 29500 unauza 31000
Hizi zina faida ya 1500 kwa kreti.
Castle lite unanunua 24000 unauza 25000
Kilimanjaro unanunua 24400 unauza 25500
Safari unanunua 27500 unauza 28500
Hizi tbl faida ya kreti ni 1000
Soda
Pepsi jumla unauziwa kreti kuanzia 30..11300 wew unauza 12000 hizi faida 700
Coca kreti jumla kwanzia 50 unauziwa 11200 unauza 12000 faida 800
Maji
Hill lita moja unauziwa 2400 unauza 2700
Na mengineyo faida inarange 300
Masoko tafuta maduka na vipub vidogo vidogo vinavyokuzunguka hvyo ndio vinavyouza kwa sasa fanya delivery hata kwa kreti 2 utawateka..ukipata vipub 10 uhakika kuuza kreti 20+ per day ni uhakikaa.
Nyongeza nunua lipikipiki lakusambazia used
Mtaji ukikua weka pombe kali p