hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Unaingia kwenye Siasa kutafuta maisha au huko umevutiwa na itikadi za siasa za CCM?Habari wakuu
Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.
Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Kusimama juu ya wote ndio kitu nachotaka., huku suala la kiuchumi nikilizingatia zaidiUnaingia kwenye Siasa kutafuta maisha au huko umevutiwa na itikadi za siasa za CCM?
CCM ni pazuri kwa ma-popoma ila kama wewe ni mtu sikushauri ujiunge na chama hicho.Habari wakuu
Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.
Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Chadema wanasema wanasajiri wanachama hadi computer zinachemsha! Ongea na erythrocyte huko ndo kuna wanachama mil 20 utatoboa dakika tuu.Habari wakuu
Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.
Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Wewe lengo lako upewe kesi ya uhujumu uchumi na upate laana za watanzaniaKusimama juu ya wote ndio kitu nachotaka., huku suala la kiuchumi nikilizingatia zaidi
Ni nani huyo by the way na kwa faida ya wote..."KWAKU BONSAM"Kabla hujaingia kwenye siasa nakushauri nenda nchini Ghana Kuna mtu mmoja anaitwa KWAKU BONSAM atakusaidia sana na utafika mbali
Tofauti na hapo ukiingia kwenye siasa kichwa kichwa jiandae kufariki muda na wakati wowote, au kuwa fukara wa kutupwa
Hata CDM ingia tu mkuu. Lakini huko usijalibu kugombea mwenyekiti wa CDM taifa. Kwani utafutwa uanachama, utaitwa msaliti au utafwaliki. Hicho ni cheo cha mtu maalumHabari wakuu
Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa,
mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu.
Kabla sijajisajili kwa uvccm ili nianze dominance huko nipeni muongozo.
natanguliza shukrani
Wewe nenda ukamuone, utanishukuru baadaeNi nani huyo by the way na kwa faida ya wote..."KWAKU BONSAM"
Loh!Kusimama juu ya wote ndio kitu nachotaka., huku suala la kiuchumi nikilizingatia zaidi
Na unaporoga lazima umwage damu ya KIUMBE mwenye miguy 4.Unapenda ushirikina, kama hupendi ushirikina usijiunge Kwenye siasa maana utatakiwa kuroga sana.