Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

Una pesa?
 
CCM ndio njia Raisi na isiyo na vikwazo kufikia hatima kubwa ya kisiasa ,bidii uvumilivu ,utu ,heshima vitakifufikisha mbali,tumefika mbali kisiasa bila kuwa na connection yoyote ,jitoe ,tumika unakwenda mbali.
 
Kuna muda nahisi hakuna kitu kinatokea bahati mbaya! Tabia yako mbaya ya leo ndio itakufikisha kesho. Kuwa wewe zingatia daudi bashite, buldozer kutoka chato, Le gwajiboy.... Kina polepole, masanja, mpoki, ....mc pilipili na chongolo...jafo..

Maisha ni fumbo kuwa na akili za mbinguni lakini mawazo ya duniani. Jitahidi kueneza habari za mbigu ya saba. Fanya ambacho hakuna anaweza kufikiria unaweza kufanya, jitoe ufahamu baki na akili. Tukutane bungeni 2035[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Kwa kuweka hii nia yako hadharani tayari umeshafanya kosa la kiufundi. Baba yako kuwa CHADEMA mkubwa ni kasoro nyingine wewe kuweza kuaminika ndani ya CCM. Mimi nakushauri jipe hata miaka mitatu kujijenga kwanza kwenye jamii hasa hao wanaCCM hadi ifike sehemu wakuone wewe ni miongoni mwao. Ukisema leo ujiingize kichwa kichwa na kuanza kujifanya una machungu kuliko uliowakuta utaishia kuwa kama Suphian aliyehamia CCM kutoka ACT. Kuhusu UVCCM huwezi penya hata kama una hela. Huko nafasi zimekabwa na watoto wa wazito watupu. Wewe unahitaji muda
 
Unaweza kuwa na vigezo vyote muhimu (elimu, mchapakazi, ushawishi kwa jamii na mwenye maono ), ila kama huna unafiki, uchawa na kunyenyekea na kujipendekeza kwa viongozi kamwe huwezi timiza malengo yako ndani ya CCM.
 
Unaweza kuwa na vigezo vyote muhimu (elimu, mchapakazi, ushawishi kwa jamii na mwenye maono ), ila kama huna unafiki, uchawa na kunyenyekea na kujipendekeza kwa viongozi kamwe huwezi timiza malengo yako ndani ya CCM.
Hata CHADEMA pia hali ni hiyohiyo. Siasa za kusini mwa jangwa la sahara ndo zilivyo.
 
Uko tayari kuroga, kuua na kuwa mnafiki?
 
Utakuwa na roho ngumu mkuu, upo tayari kufuga majini ama mandondocha, upo tayari kuua nduguzo na kuwa mnafiki?
 
Pole, unawaza kumuua nani kwenye familia yako? Siasa ni ushetani mkubwa sana na walio ndani yake wote ni mashetani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…