Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Mwanzoni kila kitu ni rahisi sana ila baada ya muda utajuta kuingia huko
 
njo tule kiboga chap unakua kama chiefgodlove
 
Dah ila wanaume sisi wa kitanzania mbona hua tunazibiana rizki hivi..mwez mzima nakaa kufikiria nini tena boss na wakati nimeshaamua.
Unajua njaa Ni Kama nyege. Nyege unaweza kukufumba macho Hadi ukatembea na mwanamke asiye na viwango halafu ukampa mimba akawa mkeo. Au unaweza kukufumba akili ukatembea na Malaya bila condomme. Jifanye unanyege Kali, kaama ukame wa mwezi halafu unatafuta demu taratibu.
 
Hakuna mashetani wagawa hela jamani tufanye kazi tuwe na maarifa ya kutafuta pesa,kutunza pesa na kuwekeza fedha utajikuta upo juu
Stori za abunuasi hizi mkuu, wemgi wamesikiliza angalia maisha yao ndio ile unapiga hatua moja kwa miaka 20...wako wengi tu huko masokoni mtu ana miaka 40 anafanya biashara tu maish yake yako pale pale
 
Eh! Mambo ya nyege tena.

Hii ndio dhana halis nliyokua nasema kuhusu sisi wanaume wa bongo...halaf mtu unashangaa kwanini sisi ni mafukara
 
Kuna kitabu kinaitwa Ars Goetia, kina orodha ya mapepo 72 ambayo mfalme solomon aliyafunga

Kinaelezea jinsi ya kuwaita, wapo ambao wanaleta utajiri

Kakisome.

Uje ulete mrejesho kama utapata hata mia😆
Hata akisoma Haina maana kuwa kuwaita ndio anawaita kama anapiga huduma kwa wateja..inahitaji gharama na maandalizi meengi..pia ni risk
 
Pole ndio unakwenda kuangamia rasmi.
 
Mkuu usimsujudie shetani ili akupe Utajiri nitafute mimi kwa wakati wako ili nikupe Jini aweze kukutajirisha utafanya biashara ndogo lakini matokeo yake utakuw atajiri mkubwa haya nimekupa offer nitafute nikupe hiyo njia ya kuweza kuwa Tajiri kazi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…