Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Nakushauri usichoke kumtumikia na kumwamini Mungu wa kweli - jikite katika maombi binafsi ongea na yeye atakujibu.

Hata hivyo utajiri si kigezo pekee kwamba utakufanya uishi maisha ya furaha hapana.
 
Nakushauri usichoke kumtumikia na kumwamini Mungu wa kweli - jikite katika maombi binafsi ongea na yeye atakujibu.

Hata hivyo utajiri si kigezo pekee kwamba utakufanya uishi maisha ya furaha hapana.
Sio kweli.
 
vijana mna tamaa Sana, hivi utajiri lazima usaule kwa mashetani?
 
Umepata connection if bado nitumie majina yako 03 Inbox then usubiri maajabu

Sitokuomba hela yoyote Ila ukifanikiwa utakuja hapa kutoa ushuhuda.
 
Umepata connection if bado nitumie majina yako 03 Inbox then usubiri maajabu

Sitokuomba hela yoyote Ila ukifanikiwa utakuja hapa kutoa ushuhuda.
Serious? Tuje?
 
Mzee acha hizo - pesa ni pesa tu cha msingi ipatikane kwa halali bila kuumiza watu.
Shida ni kwamba hata uwe maskini - shida hizo unazosema ziko palepale, na tajiri ziko palepale - bora huyu anafaraja na anaweza kuficha shida zake kwa pesa zake..
Au unataka kusema Maskini ndo wanalala usingizi mtamu sio???
 
🤣🤣🤣 Nimecheka!
Tunapenda sana shortcuts. Haya kila la kheri.
 
Kama unapata 3000 kwa siku, bora utulie tu, huku ukiishi vizuri kwa kusikiliza milio mizuri ya ndege, kuliko kutafuta njia fupi ili kuwaridhisha walimwengu kuwa na wewe una hela; hii ni mateso.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka!
Tunapenda sana shortcuts. Haya kila la kheri.
Wewe unayependa njia ndefu uko wapi..una kampun ngap afrika na dunia kwa ujumla ,, akaunti yako ina bilioni ngapi..
 
Kwa mfano ukiwa mwanamume unaweza kuambiwa uwe unaliwa jicho Kila weekend na mwanaume mwenzio tena lazima uwe usiku mzima.

Unaweza kuambiwa uwe unaingilia wanamume wenzio kinyume na maumbile kama moja ya masharti.

Ni utajiri wakitumwa, tafuta hela ambazo hazina masharti ili uwe huru nazo wakati wowote.
 
Kwenye mada ambayo nina uhakika hujui chochote, iweje au Kwanini jambo la kwanza kwenye akili yako limekuja kufiranah...
 
Kwenye mada ambayo nina uhakika hujui chochote, iweje au Kwanini jambo la kwanza kwenye akili yako limekuja kufiranah...

Pole mkuu, samahani pia kama nimekuudhi.

Mada inazungumzia kupata utajiri wa shetani, nimetoa tahadhari tu maana najua huko kuna masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…