pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
- Thread starter
- #261
[emoji23][emoji23][emoji23].Mapori bado ni mengi sana, kama huko manyoni ndani ndani eka moja unapata kwa 30,000; ata ukiomba pori la kukodi ulime bure unapewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23].Mapori bado ni mengi sana, kama huko manyoni ndani ndani eka moja unapata kwa 30,000; ata ukiomba pori la kukodi ulime bure unapewa
Nakushauri usichoke kumtumikia na kumwamini Mungu wa kweli - jikite katika maombi binafsi ongea na yeye atakujibu.Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme wa giza, nataka kumsujudia shetani mana katika vitabu vimeandikwa ukimsujudia atakupa mali nyingi sana na utajiri mkubwa wa dunia hii.
Nataka kua kama chief godlove ama tajiri bilionea Lugumi ama diamond platnumz anaesema kua dola laki mbili ya kununua gari ya tesla ni hela ndogo sana..
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu wanakuja kuwaaga kua wanajiua, halafu wakifa ndio mnawanunulia suti za kuwavalisha wakiwa marehemu za bei mbaya na jeneza la bei mbayaa, inasaidia nini kwa mfu. Leteni konekshen tujitose, ujasiri ninao nshaamua liwalo na liwe.
Naskia uchungu sana huu umasikini [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sio kweli.Nakushauri usichoke kumtumikia na kumwamini Mungu wa kweli - jikite katika maombi binafsi ongea na yeye atakujibu.
Hata hivyo utajiri si kigezo pekee kwamba utakufanya uishi maisha ya furaha hapana.
Mkuu umefanikiwa?Sio kweli.
Haya ww nenda kasaule kwa mwamposa.vijana mna tamaa Sana, hivi utajiri lazima usaule kwa mashetani?
Serious? Tuje?Umepata connection if bado nitumie majina yako 03 Inbox then usubiri maajabu
Sitokuomba hela yoyote Ila ukifanikiwa utakuja hapa kutoa ushuhuda.
Serious? Tuje?
Mzee acha hizo - pesa ni pesa tu cha msingi ipatikane kwa halali bila kuumiza watu.Kwa binadamu, wengi huwa tunatamani kile ambacho hatuna, ukilazimisha kukipata kwa njia zisizoeleweka huwa inakuwa ni mateso.
Wengi tukiwatazama usoni tunahisi wana furaha, ila katika mioyo yao wanaumia na wanateseka.
Ni bora kuwa huru kwa kula ugali na kachumbari
Ni tajiri yupi, akiwa mbali na macho ya watu huwa ana furaha?
Kama unapata 3000 kwa siku, bora utulie tu, huku ukiishi vizuri kwa kusikiliza milio mizuri ya ndege, kuliko kutafuta njia fupi ili kuwaridhisha walimwengu kuwa na wewe una hela; hii ni mateso.Mzee acha hizo - pesa ni pesa tu cha msingi ipatikane kwa halali bila kuumiza watu.
Shida ni kwamba hata uwe maskini - shida hizo unazosema ziko palepale, na tajiri ziko palepale - bora huyu anafaraja na anaweza kuficha shida zake kwa pesa zake..
Au unataka kusema Maskini ndo wanalala usingizi mtamu sio???
Kwanini.Achana na hizo mambo ndugu.
Wewe unayependa njia ndefu uko wapi..una kampun ngap afrika na dunia kwa ujumla ,, akaunti yako ina bilioni ngapi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka!
Tunapenda sana shortcuts. Haya kila la kheri.
Kwanini.
Kwenye mada ambayo nina uhakika hujui chochote, iweje au Kwanini jambo la kwanza kwenye akili yako limekuja kufiranah...Kwa mfano ukiwa mwanamume unaweza kuambiwa uwe unaliwa jicho Kila weekend na mwanaume mwenzio tena lazima uwe usiku mzima.
Unaweza kuambiwa uwe unaingilia wanamume wenzio kinyume na maumbile kama moja ya masharti.
Ni utajiri wakitumwa, tafuta hela ambazo hazina masharti ili uwe huru nazo wakati wowote.
Kwenye mada ambayo nina uhakika hujui chochote, iweje au Kwanini jambo la kwanza kwenye akili yako limekuja kufiranah...
Fungua pm watu tujeNina mtaalamu namfahamu,njoo PM