mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kinapatikana wapi mkuu?
๐น๐น๐น December ndo hii njoo twende.!!
Sio kila mtu anaweza kua tajiri. Wengine wamekalisha mapumbu na vinena wameamua kuukubali umaskini.[emoji81][emoji81][emoji81] December ndo hii njoo twende.!!
Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
Jamani ๐น๐นSio kila mtu anaweza kua tajiri. Wengine wamekalisha mapumbu na vinena wameamua kuukubali umaskini.
Kumbe upooo!??๐น๐น๐น December ndo hii njoo twende.!!
Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
Tatizo hamtaki kutoa code matajiri watoto wenye pesa nyingi.๐น๐น๐น December ndo hii njoo twende.!!
Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
J mbona hauji?!Nakuja PM
Chino mi choka mbaya, mwenyewe namtafuta mganga anayetoa utajiri ๐น๐นTatizo hamtaki kutoa code matajiri watoto wenye pesa nyingi.
Story zenu zile zile mmeanza na msingi mdogo na bra bra nyingi toeni code mchuchu
Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.Chino mi choka mbaya, mwenyewe namtafuta mganga anayetoa utajiri ๐น๐น
Ukimpata nishtue basi twende wote, nna ndoto ya kumiliki ghorofa kkoo ๐คฃ
Mwambie aje tuongee vizuri, Wazee wenyewe hatuna nguvu kutokana na Umri kwahiyo hata kama litatokea lolote hatuwezi kupambania kikombe kama ninyi Vijana mfanyavyo๐Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.
Alafu ongea vizuri na Hawa vigogo wa 'BOT' kina Grahams funds za ghorofa apo kariakoo dakika zero
Maongezi hayo nialikwe na Mimi maana babu naye hakiwii huyu
Miaka 5 najiona mbaliii sana aiseee.!!Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.
Alafu ongea vizuri na Hawa vigogo wa 'BOT' kina Grahams funds za ghorofa apo kariakoo dakika zero
Maongezi hayo nialikwe na Mimi maana babu naye hakiwii huyu
Babuuu ๐น๐นMwambie aje tuongee vizuri, Wazee wenyewe hatuna nguvu kutokana na Umri kwahiyo hata kama litatokea lolote hatuwezi kupambania kikombe kama ninyi Vijana mfanyavyo๐
Nimefanyaje Mjukuu ๐Babuuu ๐น๐น
Halafu babu korosho mpk leo sijapata ๐๐ฅน
Babu ASAP ๐นNimefanyaje Mjukuu ๐
Hilo la Korosho usijali Mjukuu, kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Kuna Kijana wangu anafanya kazi pale, fika akupatie maelezo ๐ค
NakaziaIngekuwa maisha ni marahisi hivyo watu wengi sana wangekuwa matajiri.