Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

[emoji81][emoji81][emoji81] December ndo hii njoo twende.!!

Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
Sio kila mtu anaweza kua tajiri. Wengine wamekalisha mapumbu na vinena wameamua kuukubali umaskini.
 
😹😹😹 December ndo hii njoo twende.!!

Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
Tatizo hamtaki kutoa code matajiri watoto wenye pesa nyingi.

Story zenu zile zile mmeanza na msingi mdogo na bra bra nyingi toeni code mchuchu
 
Chino mi choka mbaya, mwenyewe namtafuta mganga anayetoa utajiri 😹😹

Ukimpata nishtue basi twende wote, nna ndoto ya kumiliki ghorofa kkoo 🤣
 
Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.

Alafu ongea vizuri na Hawa vigogo wa 'BOT' kina Grahams funds za ghorofa apo kariakoo dakika zero

Maongezi hayo nialikwe na Mimi maana babu naye hakiwii huyu
 
Mwambie aje tuongee vizuri, Wazee wenyewe hatuna nguvu kutokana na Umri kwahiyo hata kama litatokea lolote hatuwezi kupambania kikombe kama ninyi Vijana mfanyavyo😜
 
Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.

Alafu ongea vizuri na Hawa vigogo wa 'BOT' kina Grahams funds za ghorofa apo kariakoo dakika zero

Maongezi hayo nialikwe na Mimi maana babu naye hakiwii huyu
Miaka 5 najiona mbaliii sana aiseee.!!

Hapo kwa babu ngoja nimcheck hana baya, najua babu ugonjwa wake kiko (mibibi nangai🤣)
Nitamtuma shosti yangu Kapeace anifanyie mchakato kwa babu, halafu yeye ntampa floor moja achukue kodi 😹😹
 
Nimefanyaje Mjukuu 😜

Hilo la Korosho usijali Mjukuu, kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Kuna Kijana wangu anafanya kazi pale, fika akupatie maelezo 🤗
Babu ASAP 😹
Nitajie jina la huyo kijana
 
Jamaa huko aliko yuko anapikwa soon atarejea hapa na utajiri
downloadfile-2.jpg
 
Back
Top Bottom