mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Kinapatikana wapi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinapatikana wapi mkuu?
😹😹😹 December ndo hii njoo twende.!!
Sio kila mtu anaweza kua tajiri. Wengine wamekalisha mapumbu na vinena wameamua kuukubali umaskini.[emoji81][emoji81][emoji81] December ndo hii njoo twende.!!
Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
Jamani 😹😹Sio kila mtu anaweza kua tajiri. Wengine wamekalisha mapumbu na vinena wameamua kuukubali umaskini.
Kumbe upooo!??😹😹😹 December ndo hii njoo twende.!!
Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
Tatizo hamtaki kutoa code matajiri watoto wenye pesa nyingi.😹😹😹 December ndo hii njoo twende.!!
Pesa zingekuwa simple hivyo kila mtu angekuwa tajiri mbona chino.
J mbona hauji?!Nakuja PM
Chino mi choka mbaya, mwenyewe namtafuta mganga anayetoa utajiri 😹😹Tatizo hamtaki kutoa code matajiri watoto wenye pesa nyingi.
Story zenu zile zile mmeanza na msingi mdogo na bra bra nyingi toeni code mchuchu
Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.Chino mi choka mbaya, mwenyewe namtafuta mganga anayetoa utajiri 😹😹
Ukimpata nishtue basi twende wote, nna ndoto ya kumiliki ghorofa kkoo 🤣
Mwambie aje tuongee vizuri, Wazee wenyewe hatuna nguvu kutokana na Umri kwahiyo hata kama litatokea lolote hatuwezi kupambania kikombe kama ninyi Vijana mfanyavyo😜Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.
Alafu ongea vizuri na Hawa vigogo wa 'BOT' kina Grahams funds za ghorofa apo kariakoo dakika zero
Maongezi hayo nialikwe na Mimi maana babu naye hakiwii huyu
Miaka 5 najiona mbaliii sana aiseee.!!Hahaha unajiona wapi Miaka 5 ijayo kwa mfano.
Alafu ongea vizuri na Hawa vigogo wa 'BOT' kina Grahams funds za ghorofa apo kariakoo dakika zero
Maongezi hayo nialikwe na Mimi maana babu naye hakiwii huyu
Babuuu 😹😹Mwambie aje tuongee vizuri, Wazee wenyewe hatuna nguvu kutokana na Umri kwahiyo hata kama litatokea lolote hatuwezi kupambania kikombe kama ninyi Vijana mfanyavyo😜
Nimefanyaje Mjukuu 😜Babuuu 😹😹
Halafu babu korosho mpk leo sijapata 😔🥹
Babu ASAP 😹Nimefanyaje Mjukuu 😜
Hilo la Korosho usijali Mjukuu, kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu Kuna Kijana wangu anafanya kazi pale, fika akupatie maelezo 🤗
NakaziaIngekuwa maisha ni marahisi hivyo watu wengi sana wangekuwa matajiri.