Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

Ukipewa sharti la kuliwa tigo ili uwe tajiri upo tayari?
 
Ntaweza mkuu. Nina njaa kweli.
Kijana kama haufanyi masikhara hapa kufuraisha genge muda wa kulala ufike nataka nikuelekeze jambo na kwa faida ya wengine wenye haja kama Yako.

Kwanza WENGI hapa wanaongea vitu hawajui, ni kweli na HAKIKA utajiri wa ndagu upo na mifano ipo ya kutosha lakini wanaofanikiwa kuupata NI WACHACHE na hasa kigezo namba Moja ni kua NA NIA YA DHATI.

Shetani anafanya kazi kwa uyakinifu 100% hakuna kusita sita Wala kuhoji ni kutejeleza tu. Sasa wewe unasema unataka utajiri eti kisa una njaa Kali ?!! Hakuna wakala wa shetani(mganga) atakuungamanisha na utajiri wa ndagu kisa una "njaa Kali"

Yani maana yake hata hapo akija mtu akakulipia bill zako zote za chakula, usafiri na burudani kwa mwaka Mmoja hautakua tena na haja ya ndagu sasa shetani unadhani ni mjinga ukupe agano la utajiri kisa "una njaa Kali" unasema uko tayari kwa lolote lakini hauna utayari una "njaa Kali" ndio inakufanya uropoke
 
Mkuu nimekutumia pm. Naomba tuwasiliane huko kama kuna uwezekano. Mimi kwa sasa sishindwi lolote. Hata utajir wa punje nikipewa mwaka mmoja nachukua kabisa.
Haya Mambo sio ya kukurupuka, nakupa mwezi mzima ukafikirie kwa undani ikiwezekana mshirikishe mzazi au mwenza au best wako, baada ya siku thelathini njoo uione kufuru LIVE.
 
Hizi fikra nimekaa nazo miaka na miaka nmejiona nazid kua fukara tu. Hazisaidii lolote.
 
Utayaweza masharti dogo ukiambiwa kila usiku wa manane uwe unapigwa pumbu utakubali?
 
Ujumbe mzito sana huu
 
Haya Mambo sio ya kukurupuka, nakupa mwezi mzima ukafikirie kwa undani ikiwezekana mshirikishe mzazi au mwenza au best wako, baada ya siku thelathini njoo uione kufuru LIVE.
Dah ila wanaume sisi wa kitanzania mbona hua tunazibiana rizki hivi..mwez mzima nakaa kufikiria nini tena boss na wakati nimeshaamua.
 
Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…