Nataka kukaa mbali na mtoto

Sawa nitajitahidi Yan akiniona anafurahi sana na nikimwambia chochote ananielewa
 
Na kwa mahusiano yake mapya kama mtu sio muelewa anaeza msumbua akidhani bado wana uhusiano na ukaribu baba mtoto!
Kwa kweli in the long run itamletea shida kwa mpenzi wake au hata kwa huyo baba mtoto na mpenzi wake. Sio rahisi mwanaume wako akuelewe eti upo so close na mtoto wa ex wako, na awe na amani; labda kama baba mtoto angekuwa amekufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaishi mbali sasahiv lkn nikirudi home lazima tuonane tupo jiran sana
Lkn umbali haujawah kuzuia hili yaan nampenda nae hawez Nije anione asije na nikiwa mbali huwa anamuuliza mama anarudi lini
 
Ni kweli Kuna ukakasi mtu mwingine kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…