Nataka kukaa mbali na mtoto

Nataka kukaa mbali na mtoto

Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko karibu sana na Mimi ni mpole anaadabu sana.

Baada ya muda nikahama mkoa x ila mtoto Kila akiwa na babaake anasema msalimie mama na simu anaomba anipigie niongee nae now nimetengana na baba Kwa sabbu tulizoshindwa kuzitatua na mtoto sahiz anamiaka 8 lakini nikirudi haipiti siku lazima Aje kunisalimia na ananiita mama lakin sioni tatizo najua ni upendo tu.

Kubwa kuliko Wana mahafali madrasa akaja kunipa taarifa na kilasiku huwa anakuja kunikumbusha nisisahau kwenda kutokana na ubusy na kwakuwa ni mtoto Kuna details hakunipa yaani muda wa sherehe na mahitaji mengine nikaamua kumpigia simu babaake kumuuliza aniambie muda Cha ajabu baba Hana taarifa na hakupewa na mtoto na huwa wanaonana sana.

Nimejisikia vibaya nahisi huu ukaribu Sasa utaleta tafrani nataka nikae mbali na huyu mtoto bila kumuonyesha kuwa sipo kbisa na babaake
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?

Na kma sio uamuz mzuri mnaweza kunisahihisha
utafanya vibaya kaa nae mtoto hivohivo.
 
Vipi hajui kugegeda vizuri?
Ikiwa shida n za kimapenz naona
Hapo kuna mmoja sio mwaminifu
Kuna mmoja anacheza nje Ila
Katika kusuluhisha inashindikana

Ila jamaa atakua kupoteza
Jiko safi Sana aisee,, kama jamaa
Ndo atakua na makosa huyu dada
Anakaa jiko Safi Sana sema ndo hvo
Mambo hayaendan
 
Ikiwa shida n za kimapenz naona
Hapo kuna mmoja sio mwaminifu
Kuna mmoja anacheza nje Ila
Katika kusuluhisha inashindikana

Ila jamaa atakua kupoteza
Jiko safi Sana aisee,, kama jamaa
Ndo atakua na makosa huyu dada
Anakaa jiko Safi Sana sema ndo hvo
Mambo hayaendan
Wee umwjuaje kuwa ni jiko safi?
Alafu kama jamaa anagegeda mbususu nyingine mbona kawaida hiyo. Na yeye sii ananitafuta tuu pm anasema mzabzab leo nataka kubadilisha ladha😂😂😂😂😂
 
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko karibu sana na Mimi ni mpole anaadabu sana.

Baada ya muda nikahama mkoa x ila mtoto Kila akiwa na babaake anasema msalimie mama na simu anaomba anipigie niongee nae now nimetengana na baba Kwa sabbu tulizoshindwa kuzitatua na mtoto sahiz anamiaka 8 lakini nikirudi haipiti siku lazima Aje kunisalimia na ananiita mama lakin sioni tatizo najua ni upendo tu.

Kubwa kuliko Wana mahafali madrasa akaja kunipa taarifa na kilasiku huwa anakuja kunikumbusha nisisahau kwenda kutokana na ubusy na kwakuwa ni mtoto Kuna details hakunipa yaani muda wa sherehe na mahitaji mengine nikaamua kumpigia simu babaake kumuuliza aniambie muda Cha ajabu baba Hana taarifa na hakupewa na mtoto na huwa wanaonana sana.

Nimejisikia vibaya nahisi huu ukaribu Sasa utaleta tafrani nataka nikae mbali na huyu mtoto bila kumuonyesha kuwa sipo kbisa na babaake
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?

Na kma sio uamuz mzuri mnaweza kunisahihisha
Maisha ni fumbo. Huyo mtoto alivyokuweka upande wake nakuomba na ww uzidi kumuonyesha upendo.
 
Wee umwjuaje kuwa ni jiko safi?
Alafu kama jamaa anagegeda mbususu nyingine mbona kawaida hiyo. Na yeye sii ananitafuta tuu pm anasema mzabzab leo nataka kubadilisha ladha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mbususu nmeona n safi Kwa mwonekano wa jf Ila kiuhalisia cjui sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Jamaa kupanua mbususu nje hyo n kawaida
Ila sio mpaka Ile mbususu ya ndan ijue
Sasa maana ikijua inakua n kama umemdharau[emoji1][emoji1]
 
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.

Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko karibu sana na Mimi ni mpole anaadabu sana.

Baada ya muda nikahama mkoa x ila mtoto Kila akiwa na babaake anasema msalimie mama na simu anaomba anipigie niongee nae now nimetengana na baba Kwa sabbu tulizoshindwa kuzitatua na mtoto sahiz anamiaka 8 lakini nikirudi haipiti siku lazima Aje kunisalimia na ananiita mama lakin sioni tatizo najua ni upendo tu.

Kubwa kuliko Wana mahafali madrasa akaja kunipa taarifa na kilasiku huwa anakuja kunikumbusha nisisahau kwenda kutokana na ubusy na kwakuwa ni mtoto Kuna details hakunipa yaani muda wa sherehe na mahitaji mengine nikaamua kumpigia simu babaake kumuuliza aniambie muda Cha ajabu baba Hana taarifa na hakupewa na mtoto na huwa wanaonana sana.

Nimejisikia vibaya nahisi huu ukaribu Sasa utaleta tafrani nataka nikae mbali na huyu mtoto bila kumuonyesha kuwa sipo kbisa na babaake
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?

Na kma sio uamuz mzuri mnaweza kunisahihisha
Ukweli unaujuwa ndani ya nafsi yako, kama ni kweli una move on na huna mpango Tena na baba yake kaa mbali na huyo mtoto. Fullstop.
 
Hii mbususu nmeona n safi Kwa mwonekano wa jf Ila kiuhalisia cjui sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Jamaa kupanua mbususu nje hyo n kawaida
Ila sio mpaka Ile mbususu ya ndan ijue
Sasa maana ikijua inakua n kama umemdharau[emoji1][emoji1]
Wewe bwana mwanamke ataona umemdharau pale tuu huna hela.
Pablo esscor alikuwa na mke lakini alikuwa anaalika prostitutes anagonga mbona mke hakumuacha?

Tafuta chede tuu wanawake hawanaga hiyo story ya kwamba umemdharau kama una hela infact demu anakwambia kabisa mie sina shida kiwa sexmate wako kama unamueleza ukweli toka mwanzo
 
Mimi ninalea Watoto Wawili hawana Wazazi Kwa kifupi Nina Upendo wa kutosha, lakini Kwa hili akae mbali na huyo mtoto Kwa faida take mwenyewe kama amemaanisha kweli kumove on.
Sasa sii umchukie mrembo akusaidie kulea hao watoto
 
Back
Top Bottom