Asante....ubwabwa umeshaiva lakini?Baba wa kambo karibu๐
Kila mtu anamfikishia ujumbe mtu anayemsikiliza na kupokea mapokeo vizuri,huyo mtoto kakupa thamani kubwa sana mpe heshima yake.Sawa lakini nahis mzaziwake hajajiskia vizuri kutokuwa na taarifa za muhimu kama hizo alafu kwangu anakuja daily mama Kuna hiki na hiki
Gheto ndio namalizia kweka flak screen ili mrembo ukija upate kuburudika na series na pia sound system ya kibabe. Sii unajua tena lile game likikolea tusije zua gumzo kwa majirani.Tushakula ghetto lako tayari utushtue tuje kupika mwisho tuhamie๐๐๐๐
Unashindwa kujionea huruma mwenyewe, unaenda kuonea huruma Binadamu mwingine ambae hujamuumba hata. uwo ni ujinga kama ujinga mwingine.Na ukijiona nafs Yako Haina huruma ujue umehama kwenye ubinadamu ni kiumbe kingine kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Sophy simpole hivyo nakataa. Mbona huna huruma na pesa za wanaume.Na ukijiona nafs Yako Haina huruma ujue umehama kwenye ubinadamu ni kiumbe kingine kabisa