Nataka kukaa mbali na mtoto

Nataka kukaa mbali na mtoto

Sawa lakini nahis mzaziwake hajajiskia vizuri kutokuwa na taarifa za muhimu kama hizo alafu kwangu anakuja daily mama Kuna hiki na hiki
Kila mtu anamfikishia ujumbe mtu anayemsikiliza na kupokea mapokeo vizuri,huyo mtoto kakupa thamani kubwa sana mpe heshima yake.
 
Tushakula ghetto lako tayari utushtue tuje kupika mwisho tuhamie😂😂😂😂
Gheto ndio namalizia kweka flak screen ili mrembo ukija upate kuburudika na series na pia sound system ya kibabe. Sii unajua tena lile game likikolea tusije zua gumzo kwa majirani.
 
Gheto ndio namalizia kweka flak screen ili mrembo ukija upate kuburudika na series na pia sound system ya kibabe. Sii unajua tena lile game likikolea tusije zua gumzo kwa majirani.
😂😂😂
 
Kwani umegombana na mtoto au baba yake
 
Na ukijiona nafs Yako Haina huruma ujue umehama kwenye ubinadamu ni kiumbe kingine kabisa
Unashindwa kujionea huruma mwenyewe, unaenda kuonea huruma Binadamu mwingine ambae hujamuumba hata. uwo ni ujinga kama ujinga mwingine.

Dunia yaya Sasa, Unaemwamini ndie anaekwenda kwa Mganga kukuroga.

Ukielewa hili andiko linamaana gani, Basi utaweza kuelewa nini ninachokwambia.

Yeremia 5:21
[21]Sikilizeni neno hili, enyi watu wajinga msio na ufahamu; mlio na macho ila hamwoni; mlio na masikio ila hamsikii.
 
Na ukijiona nafs Yako Haina huruma ujue umehama kwenye ubinadamu ni kiumbe kingine kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Sophy simpole hivyo nakataa. Mbona huna huruma na pesa za wanaume.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Sophy simpole hivyo nakataa. Mbona huna huruma na pesa za wanaume.
😂😂😂alafu Mm najitahid sana kutafuta hela na hela ya mwanaume wangu ananipa mm nani nikaatae 😂
 
Back
Top Bottom