Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

Unaweza kukumbukwa na ukapewa tuzo ya Nobel kama ya Askofu Desmond Tutu.

Na akikutwa na makosa pale kaburini kwake utafungwa mnyororo kwa miaka aliyofungwa.

Hata hivi roho yake itakuwa bado inahangaika sana kwa sababu ..

Mathayo 16:19

Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
 
Rubbish
 
Hoja imeungwa mkono na miguu, niko tayari kuja mahakamani kutowa ushahidi juu ya ufedhuri wa huyu jahili.
 
Mpuuzi mkubwa sana. Heshima ya magufuli hata walio hai hawana. Peleka hiyo kesi ntamuwakilisha jpm tuone kama utanishinda.

Nchi imerudi kama zamani upuuzi wote kazini, ujambazi, wizi nje nje afu unaongea ujinga?
Mtoa mada ni mburula
 
Ok yote uliyosema sawa lakini mtu ameishafariki na historia yake imeisha,tumwache

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wazo zuri sana,na mifupa yake itolewe kaburini na ichapwe viboko
 
Mungu aliwaepusha na nini wazanzibar kwa kifo cha Maalim Self?
Maalim alishamaliza umri wa kibiblia, Magufuli amekufa bado dogo tu.

Roho mbaya, kiburi na ukatili ndio vimefanya Mungu aingilie kati.

Hata ile mijoka mikubwa mijabali Mungu huipaza mbinguni ili isidhuru binadamu, ila huyu marehemu wenu ametwaliwa kuzimu.
 
Hayo maneno unayoongea yasije kukutokea puani kwa sababu tu ya chuki zako za kisiasa maisha ni zaidi ya siasa
 
Mwingira kachukua mkoa mzima kaumiliki kwa gia ya uwekezaji ,hawa wanaopiga kelele wananifikirisha kila mmoja ama nundu lake .
 
Hayo maneno unayoongea yasije kukutokea puani kwa sababu tu ya chuki zako za kisiasa maisha ni zaidi ya siasa
Bado unaota utawala wa mungu wenu wa chato?

Amka usingizini, zama zimebadirika, ingekuwa zama zenu muda huu Humphrey Polepole ameshapotezwa na Ndugai ameshavuliwa uanachama na kupoteza ubunge na uspika na angefunguliwa kesi ya kutakatisha pesa.

Tanzania ipo huru na kwenye mikono salama ya mama.
 
.... haijapata kutokea duniani historia ikafutwa; historia ikiandikwa imeandikwa iwe mbaya au nzuri; ndio sifa muhimu sana ya historia. Magufuli ameshakuwa rais wa nchi hii hakuna lolote litakalobatilisha ukweli huu duniani au mbinguni ndio hivyo tena meshasilibwa kwa mihuri ya moto. Labda uiombe mahakama ombi jingine ila sio kufuta urais wa Magufuli maana hamna kitu kama hicho; hiyo kesi itatupilwa mbali mapema sana kabla hata jaji hajasogelea kiti cha hukumu.
 
Washtaki maiti? Hao jamaa wote walikuwa viherehere at some point kama kuna ambaye ni msafi kati yao aende akafungue jalada la mashitaka😅!

Siku zote ukjaribu kushindana na dola thats what you get. Ukitulia na maisha yako mtu hawezi kukufuata kukuchokoza tu. Magufuli hakuwa bully isipokuwa tu kwa wale ambao walijifanya much know yeye aliwa much know zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…