Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

Ujinga ni kutoa ushauri unaweza kuta mtoa mada hata biashara yakuuza karanga hajawahi kufanya anaishi kwa shemeji yake anatuchora tu
 
Hii biashara asikuambie mtu ni nzuri ukianza na dereva awe mzuri. Dereva atakuwezesha kuwa kwenye reli ama lah. Hata gari iwe mpya kiasi gani kama deree ni pasua kichwa ni changamoto Sana...

Hapo komaa na 124 itakufaa sana Kwa unaeanza kama wewe..
Ukitaka ruti ambayo sio pasua kichwa nenda dar nyanda za juu kusini mbeya,Iringa ,njombe huko. Ule mfumo wa mdua kuwa unaenda na mzigo unarudi na mazao utakufaa Sana..
 
Kwanini kubeba mkaa? Nifumbue hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…