Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

Kama unavyojua kwny utumiaje wa mafuta Fuso inatumia kidogo zaid kulinganisha na kipisi, pia Fuso Tandam inapakia had tani 16 na ikipita mizan sio shida.

Ila kipisi ukipakia tani 16 lazima upigwe faini kwny mizani, kuna kitu wanaita GVT km sikosei yaan uzito wa gari ikiwa tupu kwa Kipisi inakuwa nzito zaid. Ndio maana kwny mizan inazid

Sie sana Tandam zinapga kazi kwenda kupeleka mahindi huko kwa Usukumani. Gari inakodishwa hadi 1.6 milion kwa trip na ukitoa gharama ya kila ktu had kulipa vijana inabaki hadi 1.1 milion.
Na gari ndani ya siku mbili tu inakuwa imeshaenda na kugeuza.

Mkuu mie ni mvivu sana ku-type text ndefu ila nadhan nmejitahid kadri ya uwezo wangu
Umenena vyema Tandamu GVM yake ni Tani 24 ,Wakati kipisi GVM yake ni Tani 18..Mimi kwa upande nina uzoevu na magari makubwa aina ya Howo na Shacman na biashara ninazosimamia ni za Transit .Transit ni biashara nzuri sana kama utakuwa na gari kwanzia nne .Pia ikiwa unaelekea Nchi kama Zambia au Drc kuna faida ya kurudi na either Copper ,Manganese au Soya kutoka Chingola,Zambia.Bei ya Lubumbashi ina range kutoka 5500Usd to 6500Usd based on cargo loaded na negotiation power yako.Kwa Kolwezi na Likasi(DRC) 6000Usd to 7000Usd. Pia kwa upande wa Zambia bei zinabadilikia kulingana na umbali na Uzito wa Mzigo Mfano Lusaka 4000Usd to 4500Usd ,Mpika 3200Usd ,Choma 4500usd to 5000usd. Kwa kifupi unapo bargain hizi price uwe makini kwa kuzingatia umbali ,Uzito na aina ya mzigo unaobeba .Uzito na umbali itakusaidia kupiga hesabu ya mafuta ili usijee ukapata hasara .Aina ya mzigo ni muhimu kuna mzigo kama sumu,suplur ,lami na chemicals zote zitahitaji additional cost ya vibali kutoka Mamlaka husika eg GCLA,TANROADS,etc.Pia kuna mzigo mipana OOG au Abnormal Cargo hizi ukitaka kutaja bei umakini unahitajika zaidi kwa maana hapa kuna cost nyingi zinaweza kujitokeza .Kama ni pana sana kama above 4m unaweza kujikuta unahitaji kibali cha Tanroads,Escort moja au mbili,Polisi,Route survey ,matangazo kwenye vyombo nya habari .Pia kwenye hizi OOG unaweza kujikuta kama urefu umeenda juu utahitaji escort ya Tanseco kwa ajil ya nyaya zao. So kwenye inahitaji umakini ila ni mizigo yenye faida kubwa sana kwa transporter wengi wanaiogopa kulingana na sheria zake .Mwisho madalali ni wazuri kwneye kazi lakini kuwa nao makini wanaweza kukulalia sana kwenye bei .Jitahidi hapa kama ni mzigo wa Sub uangalie kwanza gharama ya malipo usifanye bora liende.Kwa mwenye maoni na Ushauri anaweza changia pia.
 
Mkuu sina uhakika na bei ila niongelee upande wangu huwa tunanunua Fuso ya kawaida yan single diff ambayo inakuwa bado nzma kabsa kuanzia milion 22 hadi 28, halafu tunaipeleka garage Moshi kwenda kuongeza chassis na kuwa Tandam.

Pia inarembwa na kufanyiwa kila kitu hadi ikitoka hapo inakuwa km mpya. Cost zote inaweza kusimamia milion 42 hadi 50 na gari inakuwa imesimama balaa

NB: hyo cost ya milion 42 had 50 ni kuanzia gharama ya kununua gari hadi kufanyia kila ktu.
Mkuu ni kweli single diff ni mil 22 hadi 28 kama ni kweli na umefanya utafiti naomba nikutafute.
 
Umenena vyema Tandamu GVM yake ni Tani 24 ,Wakati kipisi GVM yake ni Tani 18..Mimi kwa upande nina uzoevu na magari makubwa aina ya Howo na Shacman na biashara ninazosimamia ni za Transit .Transit ni biashara nzuri sana kama utakuwa na gari kwanzia nne .Pia ikiwa unaelekea Nchi kama Zambia au Drc kuna faida ya kurudi na either Copper ,Manganese au Soya kutoka Chingola,Zambia.Bei ya Lubumbashi ina range kutoka 5500Usd to 6500Usd based on cargo loaded na negotiation power yako.Kwa Kolwezi na Likasi(DRC) 6000Usd to 7000Usd. Pia kwa upande wa Zambia bei zinabadilikia kulingana na umbali na Uzito wa Mzigo Mfano Lusaka 4000Usd to 4500Usd ,Mpika 3200Usd ,Choma 4500usd to 5000usd. Kwa kifupi unapo bargain hizi price uwe makini kwa kuzingatia umbali ,Uzito na aina ya mzigo unaobeba .Uzito na umbali itakusaidia kupiga hesabu ya mafuta ili usijee ukapata hasara .Aina ya mzigo ni muhimu kuna mzigo kama sumu,suplur ,lami na chemicals zote zitahitaji additional cost ya vibali kutoka Mamlaka husika eg GCLA,TANROADS,etc.Pia kuna mzigo mipana OOG au Abnormal Cargo hizi ukitaka kutaja bei umakini unahitajika zaidi kwa maana hapa kuna cost nyingi zinaweza kujitokeza .Kama ni pana sana kama above 4m unaweza kujikuta unahitaji kibali cha Tanroads,Escort moja au mbili,Polisi,Route survey ,matangazo kwenye vyombo nya habari .Pia kwenye hizi OOG unaweza kujikuta kama urefu umeenda juu utahitaji escort ya Tanseco kwa ajil ya nyaya zao. So kwenye inahitaji umakini ila ni mizigo yenye faida kubwa sana kwa transporter wengi wanaiogopa kulingana na sheria zake .Mwisho madalali ni wazuri kwneye kazi lakini kuwa nao makini wanaweza kukulalia sana kwenye bei .Jitahidi hapa kama ni mzigo wa Sub uangalie kwanza gharama ya malipo usifanye bora liende.Kwa mwenye maoni na Ushauri anaweza changia pia.
watu muhimu sana nyie ,ni kama chumvi kwenye chakula
 
Tunaomba uzoefu kwenye gari za kichina
 
Ila hizo ni mbinu tu za kutafuta unafuu wa gari, na njia hizo zinafanywa na watu wazoefu wa vyuma.

Ila kama wewe ndio unaanza ni bora kununua Fuso Tandam original ya Japan na sio ya kuongezewa Moshi au Arusha.
Mimi naona bora Tamdam ya kutengenezwa hapa hapa nchini. Mtu anunue fuso ya kawaida kisha aibadili.

Kama hataona engine/cabin/chassis vitakuwa vimechoka ni bora akanunue fuso Malawi au Msumbiji kisha aikate ije kama spea kisha abadili kwenye gari aliyonunua.
 
Huko Malawi na Msumbiji zinauzwa bei gani?

Huko zinauzwa bei nafuu unaweza pata kuanzia million 10. Kama una ubavu wa kuilipia ushuru unalipia inakuja kama gari, kama haupo vizuri unaikata inakuja kama spea.

Ukifikisha huku utaamua utafute kadi ya fuso iliyokufa/kupata ajali au ya zamani kisha iwekwe hivyo vitu.

Au hiyo gari uje utumie kama spea za kuuza.
Mbeya na Makambako utakuta Fuso namba A ila mtu akachukua injini na cabin mpya kisha akaiongeza ikawa Tandam na ikapiga kazi vizuri.
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Tunapeana mawazo tu mkuu, wengine bado hatujawa na mitaji ya kununua hivi vyombo huu mwaka kabla haujapinduka nilipanga sana mwaka huu chombo kiingie , matokeo yake Corona ikani corona kweli kweli, biashara ime under perform than i expected. but haya mambo nalazimika kuyajua na kuendelea kupekua zaid na zaid manake hili lengo kwangu ni lazima litime as long as niko hai , uzuri mmoja nimewah safirisha mazao pia , (Maharage, Viazi kwa sana na mahindi) tulikua share baadae migogoro ya hapa na pale kila mtu akala hamsini zake ukatokea myumbo mkubwa sana, nina jipanga tu saiv nitungue chombo

Just imagine mtu kama Mo , Azania, Bakherasa gari zake zinapeleka bidhaa zao mikoan alafu zinarudi na mizigo .. kuna mtu humu ana semi mbili akipakia cement inaenda mwanza anarud tupu mpaka wazo hapo .. imagine KM 900 na zaid.. huo ujinga hapa , andaa vijana kadhaa kule wakukusanyie dagaa wachafu wale (chakula chakuku) viwanda viko vingi hapa mjini unakuja wauzia unapata pesa yako ya usafiri na faida ya mzigo unaenda pakia zako cement unasepa
Hahahaha kwamba akina luhuye, hunge, Texas, sigori, mwanza huduma na wenzao wanafanya ujinga kutembea tupu?

Wale gari zao ni kwa ajili ya mizigo yao na wameridhika na pesa wanayopata kwenye cement mkuu..

Ukiona gari imebeba cement ujue tajiri amekunja 11m, na unaeza kuta hata gari 4 zinapeleka sehem moja!

Hayo mambo ya madagaa dere ndo na yeye anajitafutia ugali

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Kuna kampuni kama sikosei ni Overland walikuwa wakitoka Zambia kama wanarudi tupu basi gari moja itabeba horse za gari 2, na nyingine itabeba tela za gari 2.

Hapo atakuwa amepunguza hesabu ya gari 4 kurudi tupu, na zitahesabika ni gari 2 zimerudi tupu.
 
Hata mwanza huduma walikuwa wanabebana ila sijui kwa sasa.

Ila kuna watu wana miradi ya tofali, gari zao zinatembea tupu na hakuna kubebana!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Tunaomba uzoefu kwenye gari za kichina
Gari ambazo nina uzoefu nazo ni Howo na Shacman.

Ngoja nianze na Howo .
Howo ni miongoni mwa Gari za Kichina nzuri sana hasa kwenye utumiaji wa mafuta .Ukitaka kununu gari kama hii ni vema ukanunua Brand new .Maana bei ya mpya inashabiana na Bei za Scania used.Faida ya Howo mpya ni kuwa ina utumiaji mzuri wa mafuta hasi kulingana Horse Power (HP) yake ni 371. Katika biashara ya magari kitengo cha mafuta ni chagamoto so unapoata gari inayokula mafuta vizuri inapungiza gharama za uendeshaji. Pili Howo ikiwa mpya na ukapata dereva mzuri na mzoefu itakuchukua muda mrefu sana kupata hitilafu za mara kwa mara.Kwa kifupoi haina breakown za mara kwa mara na itakuchukua miaka Mitano mpaka 8 kuanza kusumbua.Kwa hiyo miaka kama utakuwa umeitumia vizuri utakuwa umeshrushisha hela yako na umeshanunua nyingine tena .
Upatikanaji wa spare ni rahisi kwa Tanzania ka sasa kuna mawakala wengi wa SINOTRUCK hapa Bongo so spare si tatizo.Pia spare zake bei affordable

Hasara za Howo.
Life span ya hizi gari ni fupi ukiliganisha na gari kama Scania .So ni vizuri kuitunza vizuri ili na yenyewe ikutunze pia.Service za mara kwa mara ni muhimu .
Ni muhimu ni kuwa mafundi wazuri na wanajua gari si bora fundi. Ikupendeza mara moja moja uwaite wenyewe wachina waicheki.
Gari za Shacam.
Ni gari ngumu na zenye nguvu sana, Nguvu kubwa inatoka kuwa na Horse Power kubwa kuna za 420HP na 440 HP .HP kubwa inasababisha ulaji mkubwa wa mafuta .
Fiada za Shacman ni pamoja na kuwa na nguvu kubwa gari kama hiii ni ngumu kukwama sehemu za rough Roads.Hii inaweza kupita sehemu ngumu kwa mfani mvua inanyesha huko migodini ni ngumu sana kukwama.
Inawe uwezo wa kubeba mzigo mikubwa kwa mfano inaweza kuungwa na trailer ya Lowbed na ikabeba mzigo heavy sana.

Hasara ya Shacman
Utumiaji mkubwa wa mafuta huchangia gharama za kiu edeshaji kuwa kubwa.
Life span yake pia si ndefu kama ilivuo gari nyingi za kichina.
 
Umenena vyema Tandamu GVM yake ni Tani 24 ,Wakati kipisi GVM yake ni Tani 18..Mimi kwa upande nina uzoevu na magari makubwa aina ya Howo na Shacman na biashara ninazosimamia ni za Transit .Transit ni biashara nzuri sana kama utakuwa na gari kwanzia nne .Pia ikiwa unaelekea Nchi kama Zambia au Drc kuna faida ya kurudi na either Copper ,Manganese au Soya kutoka Chingola,Zambia.Bei ya Lubumbashi ina range kutoka 5500Usd to 6500Usd based on cargo loaded na negotiation power yako.Kwa Kolwezi na Likasi(DRC) 6000Usd to 7000Usd. Pia kwa upande wa Zambia bei zinabadilikia kulingana na umbali na Uzito wa Mzigo Mfano Lusaka 4000Usd to 4500Usd ,Mpika 3200Usd ,Choma 4500usd to 5000usd. Kwa kifupi unapo bargain hizi price uwe makini kwa kuzingatia umbali ,Uzito na aina ya mzigo unaobeba .Uzito na umbali itakusaidia kupiga hesabu ya mafuta ili usijee ukapata hasara .Aina ya mzigo ni muhimu kuna mzigo kama sumu,suplur ,lami na chemicals zote zitahitaji additional cost ya vibali kutoka Mamlaka husika eg GCLA,TANROADS,etc.Pia kuna mzigo mipana OOG au Abnormal Cargo hizi ukitaka kutaja bei umakini unahitajika zaidi kwa maana hapa kuna cost nyingi zinaweza kujitokeza .Kama ni pana sana kama above 4m unaweza kujikuta unahitaji kibali cha Tanroads,Escort moja au mbili,Polisi,Route survey ,matangazo kwenye vyombo nya habari .Pia kwenye hizi OOG unaweza kujikuta kama urefu umeenda juu utahitaji escort ya Tanseco kwa ajil ya nyaya zao. So kwenye inahitaji umakini ila ni mizigo yenye faida kubwa sana kwa transporter wengi wanaiogopa kulingana na sheria zake .Mwisho madalali ni wazuri kwneye kazi lakini kuwa nao makini wanaweza kukulalia sana kwenye bei .Jitahidi hapa kama ni mzigo wa Sub uangalie kwanza gharama ya malipo usifanye bora liende.Kwa mwenye maoni na Ushauri anaweza changia pia.
Umefunguka vizuri sana.

Niliwahi fanya huo utafiti, hizo bei ni sahihi.
 
Hahahaha kwamba akina luhuye, hunge, Texas, sigori, mwanza huduma na wenzao wanafanya ujinga kutembea tupu?

Wale gari zao ni kwa ajili ya mizigo yao na wameridhika na pesa wanayopata kwenye cement mkuu..

Ukiona gari imebeba cement ujue tajiri amekunja 11m, na unaeza kuta hata gari 4 zinapeleka sehem moja!

Hayo mambo ya madagaa dere ndo na yeye anajitafutia ugali

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Kubeba cement 11M? Toka wapi kwenda wapi?
 
Back
Top Bottom