NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Kweli,Ila ni kukomaa tu lakini madereva ni pasua kichwa.anakwambia kapata tani tano kumbe ana tani saba.Siku hizi teknolojia imeendelea unafatilia kila kitu ukiwa chumbani kwako.
Kuna aina mbili za biasharaHizo fuso tandam unakodisha? If yes Moshi Dar sh ngapi? Na makubaliano yakoje?
kua front mkuu, control mzunguko wako wa mzigo ,usiwaachie wao kila kitu.. na kama unagari kuanzia 3 kwa mtazamo wangu fungua tu kampuniKweli,Ila ni kukomaa tu lakini madereva ni pasua kichwa.anakwambia kapata tani tano kumbe ana tani saba.
Mimi najua sana hii michezo.mzee wangu alikua na maroli tisa lakini sahivi kabaki na mawili tu.
Ila yote kwa yote ukikomaa na hii biashara inakutoa,kikubwa ni kuomba mungu tu.
Ahsante.Mpya kwake sio mpya kwa maana ya matumizi.. gari namba A ile ujue, namba A , la kitambo .. na unaweza ukute lilitumia TZ Kabla huu mfumo tulio nao haujaja
Kuna aina mbili za biashara
mosi unaweza safirisha bidhaa zako mwenyewe, mbili bidhaa za watu wengine
mfano , gari inatoka dsm kwenda mikoan huko ikitika hako wakati wa kurudi unanunua bidhaa kule unaleta huku kuja kuuza (mazao ya chakula asilimia kubwa) mfano huko moshi, unapeleka mzigo wakati wa kurudi unaenea west kule unapakia viazi kuleta dsm
gharama za usafiri kuleta huo mzigo kutoka kule hadi hapo sokoni mabibo ni around 1.2mil hadi 1.5 mil (sina uhakika sana) hiyo unaiingiza hivyo hivyo kwenye hesabu lako la gari , lakn pia kwenye viaz kuna faida kati ya lak 5 hadi 1.5 mil inategemea na soko lilivyo so unapiga Huku na Huku, viaz vya west havikaagi hapo sokon, fasta tu vinaisha..gari kulala pale n mara moja moja sana , this is how you maximize your profit , ikitoka hapo inauma mzigo inarud Moshi, ikishusha inauma tena mzigo mwingine inakuja , iwe nyanya iwe karoti iwe sijui nn unapakia unakuja uza , kazi yako kubwa wewe na dereva zako/wako ni kuhakikisha mnakula vizuri na hawa wenye mizigo huku gari ikifika hamna kukaa hapa mjini na ikiwa kule hamna kukaa labda kama iko service tu
ukienda mbeya nako hvyo hvyo, Nenda uyole kule pakia zako mzigo njoo uza , sema huku kuna mizigo mingi sana ya kuja dsm(ya watu)...mingi mno na ina pesa nzuri tu
Kuna siku nilipanda gari ya mama mmoja ilikuwa ndogo ndogo sijui ndo fuso alikuwa anaokota okota mizigo njiani.Kwa hakika Tandam ndio best.
Chif unajua mawazo ya watu yanatofautiana.hakumwambia aache kabisa kufanya biashara ya maroli ila kampa option ya gari litakalomfaa kwa kuanza nalo.Lakini kwa nini mnawakatisha watu tamaa kwamba R hazifai achani hizo wewe mwambie tu kama ana nunua mtumba achague mzuri tu sasa hizo 113 zenyewe zinapotea saa hizi kuzipata kwenyewe kwa shida
Hamna tatizo mkuu, nikiwa tayari nitarud hapa hapa tu , bado najifunza ABC naamini ushauri wa watu kama nyie ni muhimu mnoNajaribu kutuma picha ila zinagoma!
Ahsante.Kuna aina mbili za biashara
mosi unaweza safirisha bidhaa zako mwenyewe, mbili bidhaa za watu wengine
mfano , gari inatoka dsm kwenda mikoan huko ikifika huko wakati wa kurudi unanunua bidhaa kule unaleta huku kuja kuuza (mazao ya chakula asilimia kubwa) mfano huko moshi, unapeleka mzigo wakati wa kurudi unaenda west kule unapakia viazi (wanaviita viaz vya west Kilimanjaro) kuleta dsm
gharama za usafiri kuleta huo mzigo kutoka kule hadi hapo sokoni mabibo ni around 1.2mil hadi 1.5 mil (sina uhakika sana) hiyo unaiingiza hivyo hivyo kwenye hesabu lako la gari (gari yako ila unalipa), lakn pia kwenye viaz kuna faida kati ya lak 5 hadi 1.5 mil inategemea na soko lilivyo so unapiga Huku na Huku(hela ya usafiri umepata+faida ya mzigo uliyoleta) viaz vya west havikaagi hapo sokon, fasta tu vinaisha..gari kulala pale n mara moja moja sana , this is how you maximize your profit , ikitoka hapo inauma mzigo inarud Moshi, ikishusha inauma tena mzigo mwingine inakuja , iwe nyanya iwe karoti iwe sijui nn unapakia unakuja uza , kazi yako kubwa wewe na dereva zako/wako ni kuhakikisha mnakula vizuri na hawa wenye mizigo huku gari ikifika hamna kukaa hapa mjini na ikiwa kule hamna kukaa labda kama iko service tu
ukienda mbeya nako hvyo hvyo, Nenda uyole kule pakia zako mzigo njoo uza , sema huko kuna mizigo mingi sana ya kuja dsm(ya watu)...mingi mno na ina pesa nzuri tu, uchaguzi ni wako tu
Tunapeana mawazo tu mkuu, wengine bado hatujawa na mitaji ya kununua hivi vyombo huu mwaka kabla haujapinduka nilipanga sana mwaka huu chombo kiingie , matokeo yake Corona ikani corona kweli kweli, biashara ime under perform than i expected. but haya mambo nalazimika kuyajua na kuendelea kupekua zaid na zaid manake hili lengo kwangu ni lazima litime as long as niko hai , uzuri mmoja nimewah safirisha mazao pia , (Maharage, Viazi kwa sana na mahindi) tulikua share baadae migogoro ya hapa na pale kila mtu akala hamsini zake ukatokea myumbo mkubwa sana, nina jipanga tu saiv nitungue chomboKuna watu mpo vizuri sana, naona uzi huu umekuwa shule tosha kwa sisi ambao bado tuna tambaa kwenye biashara hizi.
Mkuu hata hizo R 420 siku hizi spear ziko kila sehemu siku hiziChif unajua mawazo ya watu yanatofautiana.hakumwambia aache kabisa kufanya biashara ya maroli ila kampa option ya gari litakalomfaa kwa kuanza nalo.
Kwa mfano 113 ama 93D ni gari ambayo inaweza pata breakdown na ukapata fundi haraka na ikawaka fasta hata kama ni ya kushusha injini katikati ya barabara.mafundi wanaozijua hizi gari ni wengi.
Lakini magari ya kisasa yenye mifumo ya umeme kila kona ni inshu kujua tatizo ukipata break down porini huko.
wakati mwingine kujua tatizo mpaka ipimwe na diagnosis machine ndo ujue tatizo.
Huwezi pakia mzigo njian , viaz ni vizito balaa.. unapakia kati ya gunia 100 au 110, gunia unakuta lina kilo 130 hadi 150 , so hapo tayari una tani zako 15 au 16 zinazotakiwa kwenye mizani (wengine wanajua chekecha zinapakia hadi 18) ila ni risk sana, miaka miwili nyuma ninasafirisha fain ilikua dolla 200, saiv sijui n bei gani karibu lak 5 hiyo , njian ni mizigo midogo midogo tu ambayo unaweza mwachia dereva apate pesa ya kuhonga michepuko yakeAhsante.
Kama ninakodisha kwako wewe sasa Danpol kutoa viazi huko west kuleta dar.
Nakulipa ndo hiyo 1.2m mpaka 1.5m.
Na ile mizigo ya kuokota njiani inaingia kwenye hesabu yangu au yako?
Na nikikodisha hiyo gari nakulipia dar nikishashusa mzigo wangu au?
Ukifika dar ipo mizigo inashushwa mingine hua haishushwi inauzwa hapo hapo kwenye gari hadi inaishaAhsante.
Kama ninakodisha kwako wewe sasa Danpol kutoa viazi huko west kuleta dar.
Nakulipa ndo hiyo 1.2m mpaka 1.5m.
Na ile mizigo ya kuokota njiani inaingia kwenye hesabu yangu au yako?
Na nikikodisha hiyo gari nakulipia dar nikishashusa mzigo wangu au?
Ok nikajua ni Riz1 maana naona zinapaki kwenye "SHELI" Zake!!Chalii tu mmoja alikua na kamtaji kidogo na proposal nzur kaongea na Sinitruck wakampa Gar 60 za kuanzia za mkopo unapeleka rejesho kila mwezi
hizi program zipo nyingi hata TATA wanazitoa kuanzia bas za abiria mpaka Trucks za mkopo unafanyia kaz kwa mkataba kwa miaka kadhaa au mwaka unalipa mdogo mdogo ndo inakua yakoView attachment 1485008
Nami nilisikia na kusoma marakadhaa hivyoNasikia ilikuwa safari yake ya kwanza
sheli za Ridhiwan zinaitwajeOk nikajua ni Riz1 maana naona zinapaki kwenye "SHELI" Zake!!
Ohhhhhh....nimefanya saabscania Miaka kedekede Kama bingwa wa scania lete hapa tukupongeze ama kukukosoa
Lake Oil na Big Bon.(Yupo Behind the scene).sheli za Ridhiwan zinaitwaje