Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

Mkuu
Fuso ni biashara ya dereva na sio mwenye gari. Uliza maswali ya msingi kwenye biashara.
Mfano.
1. Wewe unalenga kupata faida kiasi gani kwa mwezi?
2.Hiyo milioni 100 ni pikipiki ngapi na hesabu yake ni kiasi gani kwa mwezi1?
3. Je ni bajaji ngapi? Hesabu kwa mwzi je?
4. Taxi. Ngapi ? Mapato kwa mwezi?
5. Fuso za mchanga je.
6. Fuso za mizigo?
7. Trucks za tani 10? Mfano scania 94? 93 etc
8. Scania za tani 30 ? Nk

Utaona bei za Fuso tandam inafikia .ilioni 80 wakati hiyo ni 124. Hesabu zao kwako tajiri ni mbingu na nchi, pia matengenezo ya fuso ni makubwa.
Hata bima kubwa ya fuso iko juu sababu ya risk ya fuso.

Vinginevyo jenga nyumba pangisha ila kipato cha nyumba ya 100m kwa mwaka ni kipato cha 124 cha mwezi !

SHINDANISHA HUO MTAJI USIUTUPE TUU KWA MASIFA.
Mkuu, ushauri nimeuvhukua na ufanyia kazi
 
Kuna mdau kaeleza kwenye huu uzi jinsi wanavyo nunua na kuzibadilisha.
Mmenishawishi kuhusu Tandam fuso,,sasa swali zinauzwa bei gani na pia Tandam fuso ndo inakuaje?.
Najua kipisi,pulling,semi,boxboard,,ila kwenye Tandam fuso niko gizani
 
Tanzania yapo magari mangapi?? yote yametumbukia ? biashara zote zina risk mkuu, na zote zina risk za kuhatarisha na kuua mtaji wote , ndio maisha yalivyo, tuna options mbili tu either tufanye au tusifanye
Muhimu ni kukata bima kubwa.
 
Vichwa vinazidi kuja sasa.
Ushauri makini sana huu.
 


Yaani sijui kwanini biashara za vyombo vya Moto zinaboa...Jana Kuna Bajaj kazi yake kusomba maji..Yan dogo anasema siku biashara ikichanganyia anauza trip8!@16000 ambazo ni dumu40@400!

Lakini eti kipande ni 15000!..! Tena kiangaszi biashara ndo nzuri Balaa..hw come umpe tajiri 15?ati oh mafuta na service juu yangu nikaona bado wizi mtupu
 
Mfumo wako wa biashara ni upi? Au unamuachia dereva ndio akuamulie? Wengi wanaanza biashara bila maamuzi ya uendeshaji wa biashara. Wananaachia madereva wawaamulie.
Mfano.
Biashara ya pikipiki na bajaji na teksi kwa sasa ina mifumo 2 mikubwa.
1. Mkataba. Unamnunulia, mnakubaliana hesabu kwa wiki na muda, say mwaka na nusu baada ya hapo chombo kinakuwa chake. Wakati wote kinakuwa kwenye bima kubwa.
2. Hesabu kwa siku ila malipo kwa wiki. Hapa chombo ni chako hivyo matengenezo ni juu yako. Hapa unachochochunga vi hesabu na uzima wa chombo.

Ukiwa tajiri wa chombo cha moto kama dereva anatunza chombo na analeta hesabu usimuonee wivu.
Matajiri wengi hawaki kumuona dereva akibadilika hata kama kila kitu kiko sawa.
Kila mtu anahitaji maendeleo. Ni pamoja na dereva wako.
 
Hiyo 22 unanua used from Japan au hapa bongo
 
Mkuu, ungeelezea gharama za huduma hiyo. Pia ungeelezea changamoto za magari hayo na gharama za kukarabati.
Gharama za kazi hii hutofautiana kulingana na kazi itakayofanywa kwa gari hisika. Fuso zote za tani 3 huitajiwa kuwekewa double chasis ili ziweze kubeba tani 10 kwa single au 16 kwa tandam
 
Mkuu hapo kwenye wanawake naomba urudie kwanza mana itanisaidia siku na mimi nikiwa na wazo kama la huyu baharia

Capo Dei Capi
 
Gharama za kazi hii hutofautiana kulingana na kazi itakayofanywa kwa gari hisika. Fuso zote za tani 3 huitajiwa kuwekewa double chasis ili ziweze kubeba tani 10 kwa single au 16 kwa tandam
Asante kwa taarifa mtaalam. Je bei ikoje kwa tani 10 na tani 16.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…