Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.

Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-

Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.

Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa

Kwa ufisadi nayeye ni fisadi tu kama wengine.

Lakini kuishi maisha ya kawaida hilo kila mtu anaemjua anasema hivyo. Sijakutana na mtu anaemjua Nchimbi na kusema tofauti.

Kuna madai huko Tabata alikuwa na mgogoro na jirani yake akiwa waziri. Badala ya kutumia nafasi yake Nchimbi mwenyewe akaupeleka mgogoro kwa mwenyekiti wa mtaa upate usuluhishi.

Yupo mama anakiwanja chake Tegeta Nchimbi alitaka kununua akiwa Mambo ya ndani wakashindwana bei wakaachana. Sio hawa wanatoa watu kabisa kwenye nyumba za msajili prime areas na kuweka magorofa yao kwa kisingizio cha PPP aisee.

Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
 
kusema ni fisadi kama wengne hilo tayari limeshamtia doa, kuna mtu alikuwa fisadi tu kama wengne japo alijifanya kukemea ufisadi na kuwashughulikia kwa style zake, ndo maana mafisadi wakasema, inakuweje huyu fisadi anatushughulikia wakat tupo chungu kimoja, samia ameshajiweka wazi kuwa ni fisad na yupo bega kwa bega na mafisadi ndo maana unaonala hata minong'ono husikii.

Eugene Krabs
 
He talks sense, but he’s in the wrong club (guilty by association)!
 
Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
Dalili zote za "chawa" mtarajiwa.

Kiongozi yeyote anayekubali kutumiwa na kushiriki kwenye maovu kwa njia yoyote ile huyo ni wa kuwekewa mashaka.

Hiyo lugha anayotumia Nchimbi siyo mpya, hata akina Jaji Masaju wanazitumia sana huko kwenye mahakama zao.
Ni mbinu inayotumiwa kusahaulisha uovu wa hilo kundi ambamo wote ni washiriki.

Huyo Nchimbi na wengine wote waliokubali kutumiwa hawezi kutumia lugha ambayo ipo nje ya waliyoruhusiwa kuitumia; inayoweza kuonyesha utofauti wao na huyo wanayemtumikia,

Nakusihi utafute njia nyingine ya kumuuza huyo Nchimbi; hii ya ulaghai inayojulikana haina uzito tena.
 
kusema ni fisadi kama wengne hilo tayari limeshamtia doa, kuna mtu alikuwa fisadi tu kama wengne japo alijifanya kukemea ufisadi na kuwashughulikia kwa style zake, ndo maana mafisadi wakasema, inakuweje huyu fisadi anatushughulikia wakat tupo chungu kimoja, samia ameshajiweka wazi kuwa ni fisad na yupo bega kwa bega na mafisadi ndo maana unaonala hata minong'ono husikii.

Kwa ufisadi nayeye ni fisadi tu kama wengine.

Lakini kuishi maisha ya kawaida hilo kila mtu anaemjua anasema hivyo. Sijakutana na mtu anaemjua Nchimbi na kusema tofauti.

Kuna madai huko Tabata alikuwa na mgogoro na jirani yake akiwa waziri. Badala ya kutumia nafasi yake Nchimbi mwenyewe akaupeleka mgogoro kwa mwenyekiti wa mtaa upate usuluhishi.

Yupo mama anakiwanja chake Tegeta Nchimbi alitaka kununua akiwa Mambo ya ndani wakashindwana bei wakaachana. Sio hawa wanatoa watu kabisa kwenye nyumba za msajili prime areas na kuweka magorofa yao kwa kisingizio cha PPP aisee.

Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
Huo mstari wa kwanza ulioweka hapo una maana gani?

Hii staili yako ya uwasilishaji wa hoja inatatiza sana!
 
Mwamba is very slippery, kwenye ishu ya bei ya mafuta aliyotamka samuya jamaa ni kama alituona wote ni wajinga kwa jins alivokuwa anakoment kiujanjaujanja, ni wale watu wanajifanyaga hawana upande mchana kumbe usiku wanapiga masanga na shetani.
 
Kwa ufisadi nayeye ni fisadi tu kama wengine.

Lakini kuishi maisha ya kawaida hilo kila mtu anaemjua anasema hivyo. Sijakutana na mtu anaemjua Nchimbi na kusema tofauti.

Kuna madai huko Tabata alikuwa na mgogoro na jirani yake akiwa waziri. Badala ya kutumia nafasi yake Nchimbi mwenyewe akaupeleka mgogoro kwa mwenyekiti wa mtaa upate usuluhishi.

Yupo mama anakiwanja chake Tegeta Nchimbi alitaka kununua akiwa Mambo ya ndani wakashindwana bei wakaachana. Sio hawa wanatoa watu kabisa kwenye nyumba za msajili prime areas na kuweka magorofa yao kwa kisingizio cha PPP aisee.

Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
Ni kweli usemalo, pale Tabata maeneo ya Mwananchi nadhan ndipo Alipoishi na amejenga pale wengi wanasema ni mtu mwenye characters. Tatizo kubwa yupo CCM … automatically imani Inapotea kwake. Hata matembezi yake Vatican yalikuwa remembrance kwa yaliyotokea na kujitafakari

Mama maushungi yeye anaejisifu na imani yake hata kutubu au kulainisha nafsi yake ameshindwa badala yake anachambana na wananchi mambo ya kijinga sana

Nadhan atakuwa amezoea zile story za umwagaji damu alizofundishwa madrasa
 
kusema ni fisadi kama wengne hilo tayari limeshamtia doa, kuna mtu alikuwa fisadi tu kama wengne japo alijifanya kukemea ufisadi na kuwashughulikia kwa style zake, ndo maana mafisadi wakasema, inakuweje huyu fisadi anatushughulikia wakat tupo chungu kimoja, samia ameshajiweka wazi kuwa ni fisad na yupo bega kwa bega na mafisadi ndo maana unaonala hata minong'ono husikii.

Eugene Krabs
Na kuinufaisha familia yake
 
All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.

Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-

Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.

Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa
vyovyote iwavyo,
iwe jua ama mvua,

Dr.Emmanuel John Nchimbi ndie agenda ya Taifa 2030-2040, hakuna haja ya uchonganishi.
 
1775939628461.jpg
 
Back
Top Bottom