Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Heshima kubwa sana Wakatoliki, mnamdindia hadi Trump : Catholic Church ndio mlango wa amani wa dunia : hawa jamaa I respect snaa mfumo wao amani - wanailaani US na Israel utasema wao ni waislam

Nilisoma kitabu kimoja one of the quotes; < Shekh Mahmoud wa Tunis alisema nimetembea nchi nyingi za kiislam duniani ila sijauona Uislam Bali nilikutana na watu wanaojiita waislam au amani, akasema tena nimetembea nchi nyingi ambazo sio zenye waislam wengi au sio nchi za kiislam lakini nimeuona uislam kwenye nchi hizo .

Kama kawaida hawa jamaa ni sliper sana na hawana purpose - hawajawahi kulaani mambo mabaya ya dunia hii ,hawajawahi kusimama na haki -
Yupo Shekh mmoja pale Sudia Arabia alishawahi kulaani vita ya Israel na Middle East , the following day alitolewa pale Mecca 🕋

Islam I think foundation yake ni violence na umesimamishwa kwa uoga mwingi sana kiasi kwamba wametengeneza makondoo who can’t even reason

Wakatholic yapo makosa walifanya ila walikiri na kufanya maboresho.
Dini yangu ya kiislam wanamakosa mengi snaa ikiwemo violence ya kukata watu mikono , kupiga watu mawe, kulazimisha watu kuingia kwa islam - slim usalimike, kuita watu makafiri kwamba pepo ni yao tu ( crazy )

Lakini hadi leo hii hawajawahi kukubali ni makosa badala yake zipo verses hadi leo zinasomwa na laiti zingekuwa zinqsomwa kwa kiswahili- chuki ingekuwa ni kubwa sana.

Hawatowapenda hao hadi wawaingize kwenye ukafiri- hii Ina incite hate among people , verse kama mungu ha mpenzi kafiri- ni hate ina incite violence

Thanks to Catholic Church to stand with the truth regardless faith

Mfano Supremacy leader aliuliwa akiwa na mjukuu wake , innocent soul inakatishwa uhai kwa upumbavu wa trump na Bibi just as Samia alivoua millions Ya watanzania ila hakuna Muslims aliepanua bakuli la mdomo. It is such as shame hizo imqni nyingine ni za ku burn

Yaani mtu anawaza tena mbinguni kwenda kugongana- I think it was a trick kufanya watu watamani uislam na kifo
 

Attachments

  • instaget.mp4
    3.6 MB
Unamuamini Nchimbi mtu ambaye hana anachosimamia zaidi ya cheo tu.
Aliimba anaimani na Lowassa alipoteuliwa na Magufuli akakubali uteuzi nani aliyekuwa na imani ni Lowassa au mteuzi wake mpya ?

Alipoteuliwa Katibu Mkuu wa CCM alipretend anaamini ushindani wa kisiasa ghafla chama chake kikapita bila kupingwa kwenye serikali za mitaa.

Na sasa anasimamia nini wakati yuko madarakani bila uchaguzi ?
Wewe mwenyewe ungekuwa kwenye nafasi ya Nchimbi huenda ungekuwa worse kumzidi yeye.
 
Kwa ufisadi nayeye ni fisadi tu kama wengine.

Lakini kuishi maisha ya kawaida hilo kila mtu anaemjua anasema hivyo. Sijakutana na mtu anaemjua Nchimbi na kusema tofauti.

Kuna madai huko Tabata alikuwa na mgogoro na jirani yake akiwa waziri. Badala ya kutumia nafasi yake Nchimbi mwenyewe akaupeleka mgogoro kwa mwenyekiti wa mtaa upate usuluhishi.

Yupo mama anakiwanja chake Tegeta Nchimbi alitaka kununua akiwa Mambo ya ndani wakashindwana bei wakaachana. Sio hawa wanatoa watu kabisa kwenye nyumba za msajili prime areas na kuweka magorofa yao kwa kisingizio cha PPP aisee.

Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
Siwapendi CCM wote ila huyu ana afadhali. Angekuwa yeye ni rais yale mauaji ya 29/10 yasingetokea na hata vijana kwa makumi waliotekwa kwa sababu za kijinga wasingetekwa. Hata Polepole asingetekwa. Huyu hata kama ni kuiba uchaguzi anaiba akiwa na aibu.
 
Siwapendi CCM wote ila huyu ana afadhali. Angekuwa yeye ni rais yale mauaji ya 29/10 yasingetokea na hata vijana kwa makumi waliotekwa kwa sababu za kijinga wasingetekwa. Hata Polepole asingetekwa. Huyu hata kama ni kuiba uchaguzi anaiba akiwa na aibu.
Ulikuwa wapi kipindi cha operesheni Tokomeza 2013 ? Mbona yalitokea yaliyotokea kwenye wizara yake ?
 
Ana record ya kujiuzulu uwaziri wa mambo ya Ndani unadhani alijiuzulu kwa kadhia ipi ?
Ingekuwa vizuri ukachangia maoni yako kuliko kuuliza swali moja moja wakati sina majibu. Nlikuwa sijui hata kama alipata kuwa waziri wa mambo ya ndani.
 
Watanzania mtadanganywa saaaaaaaaaaana.

CCM hakuna mwema hata mmoja
Msidanganyike hakuna mwema hata nusu.
 
Back
Top Bottom