Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Sio kwa maslahi yako na kufanya nchi kama shamba la bibi yake
 

Attachments

  • instaget.mp4
    1.8 MB
Anajaribu kuplay smart , Boss wa darasa la sana sidhan kama anaelewa
 

Attachments

  • v1c044g50000d6hiu5nog65hee3cr8ng.mp4
    1.7 MB
Uzuri huyu hawezi kumfanya kitu . Wote wamechaguliwa na wananchi

Sio yule Mwigulu anaezunguka nchi mzima na Hana impact yoyote zaidi ya kuonekana kituko

Nchi hiyo isirudie tena kuongozwa na mwanamke- iwe ni mwanzo na mwisho
 

Attachments

  • v1c025g50000d6k0ebfog65n0kk2ktkg.mp4
    2.2 MB
Kwa ufisadi nayeye ni fisadi tu kama wengine.

Lakini kuishi maisha ya kawaida hilo kila mtu anaemjua anasema hivyo. Sijakutana na mtu anaemjua Nchimbi na kusema tofauti.

Kuna madai huko Tabata alikuwa na mgogoro na jirani yake akiwa waziri. Badala ya kutumia nafasi yake Nchimbi mwenyewe akaupeleka mgogoro kwa mwenyekiti wa mtaa upate usuluhishi.

Yupo mama anakiwanja chake Tegeta Nchimbi alitaka kununua akiwa Mambo ya ndani wakashindwana bei wakaachana. Sio hawa wanatoa watu kabisa kwenye nyumba za msajili prime areas na kuweka magorofa yao kwa kisingizio cha PPP aisee.

Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
Kuhusu kiwanja niliwahi sikia pia,so tumpe credits???
 
Jamaa ananuka mboga mboga at the same time ana nunukia utanganyika,kila neno akitoa nasikia kama kumpa credits lakini kila nikikumbuka yale mauaji,narudi nyuma.

Lakini mara kwa mara naona Tanganyika spirit hang out on his mouth just like magu.

My opinion👆
 
He talks sense, but he’s in the wrong club (guilty by association)!
Wote lao moja ila wanatuchezea good cop & bad cop.

Wakati mmoja akiwa anakuumiza, mwingine huja kujifanya hapendezewi na kile anachokufanyia mwenzake.

Lakini muda wa kula wanakaa meza moja na kugonga cheazzz.

Hivyo wajinga ni sisi
 
All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.

Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-

Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.

Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa

Tunataka mabadiliko ya mifumo na katiba, bado mnataka kurudia kosa lilelile la kuwaamini wanaccm mmojammoja? Juzi tulikuwa na Magufuli akijiita mzalendo, lakini akawa hataki katiba mpya. Baada ya miaka mitano kafariki na hatuna katiba mpya. Leo mnaleta hadithi hizi za Nchimbi, wakati naye ni sehemu ya chama kisichotaka katiba mpya, mna matatizo gani?
 
Wanaamini tayari wapo mbinguni na wake 70
Udini ndio unawasumbua tu! Sababu Huyo bwana ni mkristo mwenzenu tu? Comment yako ya sijui bikira 70, dhahiri imeonyesha chuki zenu....akitoka Samia anakuja Ridhiwan kikwete.
 
Kwa ufisadi nayeye ni fisadi tu kama wengine.

Lakini kuishi maisha ya kawaida hilo kila mtu anaemjua anasema hivyo. Sijakutana na mtu anaemjua Nchimbi na kusema tofauti.

Kuna madai huko Tabata alikuwa na mgogoro na jirani yake akiwa waziri. Badala ya kutumia nafasi yake Nchimbi mwenyewe akaupeleka mgogoro kwa mwenyekiti wa mtaa upate usuluhishi.

Yupo mama anakiwanja chake Tegeta Nchimbi alitaka kununua akiwa Mambo ya ndani wakashindwana bei wakaachana. Sio hawa wanatoa watu kabisa kwenye nyumba za msajili prime areas na kuweka magorofa yao kwa kisingizio cha PPP aisee.

Sema yote Nchimbi very down to earth kwa wanaomjua na niliopata kuwasikia.
Aisee
 
Jamaa ananuka mboga mboga at the same time ana nunukia utanganyika,kila neno akitoa nasikia kama kumpa credits lakini kila nikikumbuka yale mauaji,narudi nyuma.

Lakini mara kwa mara naona Tanganyika spirit hang out on his mouth just like magu.

My opinion👆
Hata mimi ananipa mixed feelings . Tatizo kubwa ni mboga mboga

Sio yule mnyeramba anazunguka nchi nzima na Hana impact!
 
Udini ndio unawasumbua tu! Sababu Huyo bwana ni mkristo mwenzenu tu? Comment yako ya sijui bikira 70, dhahiri imeonyesha chuki zenu....akitoka Samia anakuja Ridhiwan kikwete.
Mimi dini itanipa kula
Baki na ujinga wako
 
Tunataka mabadiliko ya mifumo na katiba, bado mnataka kurudia kosa lilelile la kuwaamini wanaccm mmojammoja? Juzi tulikuwa na Magufuli akijiita mzalendo, lakini akawa hataki katiba mpya. Baada ya miaka mitano kafariki na hatuna katiba mpya. Leo mnaleta hadithi hizi za Nchimbi, wakati naye ni sehemu ya chama kisichotaka katiba mpya, mna matatizo gani?
Katiba mpya tunaitaka I
 
Ndio maana
Wote lao moja ila wanatuchezea good cop & bad cop.

Wakati mmoja akiwa anakuumiza, mwingine huja kujifanya hapendezewi na kile anachokufanyia mwenzake.

Lakini muda wa kula wanakaa meza moja na kugonga cheazzz.

Hivyo wajinga ni sisi
nasema tuwaondoe wote hawaaminiki tena
 
Kwenye falsafa ya utawala, hekima ya mtu mmoja haiwezi kamwe kushinda systemic folly.

Nchimbi anajua nchi inavyopaswa kwenda, lakini anatumikia ramani iliyochorwa na mtu asiyejua dira.
Hatar sana hii
 
Back
Top Bottom