Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.

Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-

Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.

Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa

Unamuamini Nchimbi mtu ambaye hana anachosimamia zaidi ya cheo tu.
Aliimba anaimani na Lowassa alipoteuliwa na Magufuli akakubali uteuzi nani aliyekuwa na imani ni Lowassa au mteuzi wake mpya ?

Alipoteuliwa Katibu Mkuu wa CCM alipretend anaamini ushindani wa kisiasa ghafla chama chake kikapita bila kupingwa kwenye serikali za mitaa.

Na sasa anasimamia nini wakati yuko madarakani bila uchaguzi ?
 
Zanzibar miaka ya 70 ilikuwa hakuna mtihani wa darasa la saba. Ni la kwanza hadi kidato cha tatu.
 
Mmmmh Kufelisha watu wa dini fulani , hii ni claim kaka , kuna evidence , tumesoma pia na wapemba….. sijaelewa hapo unaposema they are smart .

Pia kutochaguliwa ndio kufeli kwenyewe kwa miaka ile


Sio kweli kuwa alifeli daasa saba, bali ni hakuchaguliwa!, kwenye daasa saba hakuna kufeli na kupasi, kuna kuchaguliwa na kutokuchagukiwa!. Kufeli na kupasi ni Form IV, kwa Zanzibar mtu mwenye D mbili, huyo ni ana akili sana!, kwasababu Wazanzibari wengi wana akili sana kuliko Wabara ila walikuwa wanafelishwa na NECTA, zile D mbili za Zanzibar, ni equavilent na Div II ya huku bara!. Hili niliwahi kuliulizia humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Na nilipofanya utafiti inakuwaje?, nikaandaa dodoso na kufanya hojaji humu Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Ndipo nikagundua kumbe NECTA ilikuwa inawafelisha watu wa dini fulani ili waonekane vilaza! .

P
nayo
 
Anataka kura hana lolote kwa maana samia anamalizia muhula wake ndio anajikosha kuwa yeye ni bora ili ashinde inaitwa kiki anaitafuta .

Hatudanganywi maana tuna Mungu situpo natutaendelea kuwepo.
 
Mmmmh Kufelisha watu wa dini fulani , hii ni claim kaka , kuna evidence ,
Yes it is true, Mkuu Al Anisa Maalim Mohamed Said ameisha leta ushahidi humu mara kibao!
tumesoma pia na wapemba….. sijaelewa hapo unaposema they are smart .
Wazanzibari are very smart and especially Wapemba
  • Urais wa JMT kupitia chama fulani ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu
  • Japo haijaandikwa popote, lakini akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki na akiwa Muislamu, lazima atoke Zanzibar!
  • JKN alikuwa Mkristo Mkatoliki, baada yake akaja AHM Muislamu kutoka Zanzibar, akafuatiwa na BWM , Mkristo Mkatoliki kutoka Bara.
  • Ben alipaswa kufuatiwa na Muislamu kutoka Zanzibar, alikuwa ni Dr. Omar Ali Juma, ikabidi aondoshwe kutoa nafasi kwa Muislamu kutoka Bara kuingia!, watu wa kazi zao, (nawajua) wakafanya yao! (Nayajua), Dr. Omar akaondoshwa to pave the way kwa Muislamu wa bara kuingia hivyo kuipoka Zanzibar haki yake!.
  • Baada ya Ben kumaliza sasa ndipo JK akaingia kwa kuipoka zamu ya Zanzibar, hivyo baada ya JK ilibidi iwe Zanzibar, ila ule utaratibu wa Mkristo Muislamu ukagoma, hivyo akaingia JPM, Mkristo Mkatoliki
  • Akina sisi tuliandika Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano, 2015 Si Zamu ya Zanzibar?
  • Pia tuliuliza Je, kunahitajika ‘affirmative action’ ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
  • Baada ya JPM kumaliza awamu ya kwanza, watu wenye jicho la mbali, wakaona kusubiria 2025 ndipo Mzanzibari awe rais wa JMT, watashindwa kutusua!, ili Mzanzibari kukalia kile kiti, inabidi mtu aondoshwe!, kamati ya ufundi ikakaa, ufundi ukafanyika, ndio kama vile, mara paap Mzanzibari kitini.
  • Na ili kufunga milango ya fitna zote, ndio ikapigwa ile sarakasi pale Idodomya, hakuomba, hakusailiwa, akapitishwa juu kwa juu!.
  • Na kwa jinsi Watanzania wanavyompenda, ile tarehe 29 October 2025 wakajihimu alfajiri na mapema, watu milioni 32 wakajitokeza kutiki na kumpa kura za ushindi wa kishindo cha asilimia 98%.
P
 
Yes it is true, Mkuu Al Anisa Maalim Mohamed Said ameisha leta ushahidi humu mara kibao!

Wazanzibari are very smart and especially Wapemba
  • Urais wa JMT kupitia chama fulani ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu
  • Japo haijaandikwa popote, lakini akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki na akiwa Muislamu, lazima atoke Zanzibar!
  • JKN alikuwa Mkristo Mkatoliki, baada yake akaja AHM Muislamu kutoka Zanzibar, akafuatiwa na BWM , Mkristo Mkatoliki kutoka Bara.
  • Ben alipaswa kufuatiwa na Muislamu kutoka Zanzibar, alikuwa ni Dr. Omar Ali Juma, ikabidi aondoshwe kutoa nafasi kwa Muislamu kutoka Bara kuingia!, watu wa kazi zao, (nawajua) wakafanya yao! (Nayajua), Dr. Omar akaondoshwa to pave the way k
Habari leo imeondoa clip za hutuba, kuna tatizo ?
 
Samia ameshawahi kusema kuna watu wanamchukia kwa dini yake . Mambo ya hovyo Sana. Yani anataka aharibu nchi watu tukae kimya . Rais amevuruga sana nchi na ametuletea udini sana .

Hivi mtu umchukie mtu kwa dini yake , dini sisi inatusaidia nini ? Ameharibu sana nchi
 

Attachments

  • instaget.mp4
    1.3 MB
tatizo la mchimbi ana tamaa na nafasi ya bosi wake,aondoe hilo wazo kichwani kwake malamoja la sivyo atadhalilika huko mbeleni. kupachika wabunge wake kila mahali asifikili watampa anachotamani.
 
tatizo la mchimbi ana tamaa na nafasi ya bosi wake,aondoe hilo wazo kichwani kwake malamoja la sivyo atadhalilika huko mbeleni. kupachika wabunge wake kila mahali asifikili watampa anachotamani.
Kama Samia alivyokuwa na Tamaa ya boss wake
 
Ni kweli usemalo, pale Tabata maeneo ya Mwananchi nadhan ndipo Alipoishi na amejenga pale wengi wanasema ni mtu mwenye characters. Tatizo kubwa yupo CCM … automatically imani Inapotea kwake. Hata matembezi yake Vatican yalikuwa remembrance kwa yaliyotokea na kujitafakari

Mama maushungi yeye anaejisifu na imani yake hata kutubu au kulainisha nafsi yake ameshindwa badala yake anachambana na wananchi mambo ya kijinga sana

Nadhan atakuwa amezoea zile story za umwagaji damu alizofundishwa madrasa
Hiyo paragraph ya mwisho tayari umeshafaulu kuwagawa watu 😳 !
Bandugu safari bado ni ndefu sana !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???! 😳
 
Naanz kuuona utu wa ilani yetu ya chama kwenye ndimi za viongozi wetu wa chama na serikali!

Ni matumaini yangu kwamba hata malalamiko ya kisiasa yatashuhhulikiwa coz vyama vya upinzani ni zao la CCM na vimekuzwa na CCM na ccm haiwezi kujipinga yenyewe katika juhudi zake za kiweka sauti tofauti tofauti za kuwasemea wananchi!!
 
Hapo ndio wanapo win, wanasoma scripts ukidhani anakemea lengo kurudisha imani kwao kwamba kuna watu awapendi kinachoendelea, je kama apendi kwanini asijihudhuru?
Kujiuzuru ni kuyakimbia matatizo !
Ukiyaona matatizo unapaswa uyashughulikie ukiwemo humo humo ndani ya ulingo !
Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Usimsingizie Samia, ni kamati ya ufundi ndio ilifanya jambo Samia hakujua chochote!
P
Kaka nakupa siri, Samia alikuwa anatumika na ndio alifacilitate snaa JPM kufikiwa kwa karibu na vijana mfumo wasiokuwa na uzalendo


Suala la Bibi kutokuwa aware ni uwezo wake mdogo wa kungamua mambo kama ilivyo kwa sasa
 
Back
Top Bottom