Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

vyovyote iwavyo,
iwe jua ama mvua,

Dr.Emmanuel John Nchimbi ndie agenda ya Taifa 2030-2040, hakuna haja ya uchonganishi.
Hii agenda mmeongea na makamu mwenyekiti ? 2030 ni mbali
1000128579.jpg
 
All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.
Unamaanisha nani daasa 7?, kiukwe mtu wetu sio daasa saba, ni form IV, ila sema kwa uwezo anaoonyesha kwa public speech, anaongea as if ni wale form 4 wa D mbili!. Naomba muheshimu elimu za watu!, mtu wa form IV huwezi kumuita ni daasa la saba, hata kama form IV alipata zero, hivyo hapewi cheti cha NECTA, lakini anakuwa na cheti chake cha leaving certificate, usimuite daasa saba!.
Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-
Kwenye hili namuunga mkono na tumempongeza PMNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!.
Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.
Japo ni kweli, pale alipounga mkono nguvu iliyotumika, lakini baadae aliguswa akabadili kauli Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.
Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi

Nimemsikia na ninamkubali sana!, tena naomba nisiseme kitu kumhusu namwish nini mtu huyu 2030, kama nilivyo mu wish Samia ile 2017 kwa mimi kusema I wish awe Samia 2025, lakini kabla hata ya 2025, likatokea jambo Samia akawa, hivyo sasa niko makini sana na wishes zangu, sizisemi ili kuwalinda watu wetu, nisije nikasema nawish huyu ndie awe 2030, halafu likatokea jambo hapa katikakati, tukaanza kunyoosheana vidole!.
Hivyo mtu wetu wa 2030 namjua, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

P.
 
Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa

Unakawia kumfahamu na hautamfahamu kwa kuweka bias mbele.

Hizo kauli zote alizozitoa ni za kusongesha dira za siasa(political millage) na kucheza na akili za waTz.

Kiuhalisia ni yeye aliyesababisha dhahama za Oc t29 kutokana na kauli zake za kukataa maridhiano na wapinzani, tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya hadi uchaguzi upite, ambapo ndiyo chanzo cha chuki na vurugu zote.

Ni yeye aliyezuia mwanachama mwingine yeyote wa Ccm kuchukua fomu za kuwania uRais na ni kinyume cha sheria.

Kumwamini mwanasiasa kizabizabina 'kabila' hii, yakupasa kwanza ujitoe ufahamu.
 
Unamaanisha nani daasa 7?, kiukwe mtu wetu sio daasa saba, ni form IV, ila sema kwa uwezo anaoonyesha kwa public speech, anaongea as if ni wale form 4 wa D mbili!. Naomba muheshimu elimu za watu!, mtu wa form IV huwezi kumuita ni daasa la saba, hata kama form IV alipata zero, hivyo hapewi cheti cha NECTA, lakini anakuwa na cheti chake cha leaving certificate, usimuite daasa saba!.

Kwenye hili namuunga mkono na tumempongeza PMNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!.

Japo ni kweli, pale alipounga mkono nguvu iliyotumika, lakini baadae aliguswa akabadili kauli Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.

Nimemsikia na ninamkubali sana!, tena naomba nisiseme kitu kumhusu namwish nini mtu huyu 2030, kama nilivyo mu wish Samia ile 2017 kwa mimi kusema I wish awe Samia 2025, lakini kabla hata ya 2025, likatokea jambo Samia akawa, hivyo sasa niko makini sana na wishes zangu, sizisemi ili kuwalinda watu wetu, nisije nikasema nawish huyu ndie awe 2030, halafu likatokea jambo hapa katikakati, tukaanza kunyoosheana vidole!.
Hivyo mtu wetu wa 2030 namjua, Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!

P.
Kaka Paskali hawa watu unawapenda sana. But ukweli huyo mtu tunaambiwa Originally alifeli darasa la saba; kwa Zanzibar ilikuwa ni Rahisi kuunga kiujanja na kufika form 4 . Also , uwezo wa Samia ni Mdogo sana na hili linajidhihirisha kwenye speech zake ;

Lakini pia kuna haja ya Uchunguz kwa Samia , Mienendo yake inaonesha hana uzalendo na nchi kabisa na Nchi kaiweka rehani sana

Bal. Dr Nchimbi anaonesha uwezo mkubwa sana na kiongozi aliekomaa, Samia anaonesha ni kiongozi aliye kwenye balehe na sio ukomavu na ndio maana kila akifungua kinywa chake…. Anaacha harufu mbaya nyuma yake: Daktari Nchimbi anatamua kuwa kwa sasa wananchi wanataka healing ndio maana anajua cha kuongea; yule mwingine ni mropokqji bila ya kujua taifa linataka nini - kazi yake ni kuchambana na wananchi na kutupa story za wajukuu ambazo hatutaki kusikia

Lakini kwa sasa wananchi wanataka regimen change , Mfumo wa CCM utoke kabisa mana ndio Tatizo la msingi kwenye taifa letu

Kwa mfano , Mauaji yalitokea among the other things, ni CCM ni kushindwa kuheshimu hata katiba yake na kumkumbatia mtu ambae uwezo wake ndani ya miaka 3 alionesha she stands for nothing na ni mtu chochote kitu
 
Unakawia kumfahamu na hautamfahamu kwa kuweka bias mbele.

Hizo kauli zote alizozitoa ni za kusongesha dira za siasa(political millage) na kucheza na akili za waTz.

Kiuhalisia ni yeye aliyesababisha dhahama za Oc t29 kutokana na kauli zake za kukataa maridhiano na wapinzani, tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya hadi uchaguzi upite, ambapo ndiyo chanzo cha chuki na vurugu zote.

Ni yeye aliyezuia mwanachama mwingine yeyote wa Ccm kuchukua fomu za kuwania uRais kinyume cha sheria.

Kumwamini mwanasiasa kizabizabina 'kabila' hii, yakupasa kwanza ujitoe ufahamu.
Nakubaliana na wee

Regimen change is inevitable
 
Utatu mtakatifu unafanya kazi vizuri ,
Baba mwana na roho mtakatifu.

Kama elite lazima awe mstari mmoja na elites wenzake .. kwa makamu wa marais ninao wafahamu ,calibre ya Shein na Nchimbi.. mh ... Kuna walakini kiasi ...

Moto baridi baridi moto .. tutaelewana..

Real politiki in action
 
Fisiem ni Fisiem tu
Kazi ni kipimo cha utu.
 
All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.

Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-

Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.

Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa

Unamuamini binadamu? 😂😂😂😂
 
Kaka Paskali hawa watu unawapenda sana. But ukweli huyo mtu tunaambiwa Originally alifeli darasa la saba; kwa Zanzibar ilikuwa ni Rahisi kuunga kiujanja na kufika form 4 . Also , uwezo wa Samia ni Mdogo sana na hili linajidhihirisha kwenye speech zake.
Sio kweli kuwa alifeli daasa saba, bali ni hakuchaguliwa!, kwenye daasa saba hakuna kufeli na kupasi, kuna kuchaguliwa na kutokuchagukiwa!. Kufeli na kupasi ni Form IV, kwa Zanzibar mtu mwenye D mbili, huyo ni ana akili sana!, kwasababu Wazanzibari wengi wana akili sana kuliko Wabara ila walikuwa wanafelishwa na NECTA, zile D mbili za Zanzibar, ni equavilent na Div II ya huku bara!. Hili niliwahi kuliulizia humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.

Na nilipofanya utafiti inakuwaje?, nikaandaa dodoso na kufanya hojaji humu Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Ndipo nikagundua kumbe NECTA ilikuwa inawafelisha watu wa dini fulani ili waonekane vilaza! .

P
 
Mkuu usijefanya la kumuamini mwanaccm yeyote
All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.

Nikimnukuu Nchimbi, “ Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-

Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.

Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.

Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.

Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa

sije
 
Mwamba is very slippery, kwenye ishu ya bei ya mafuta aliyotamka samuya jamaa ni kama alituona wote ni wajinga kwa jins alivokuwa anakoment kiujanjaujanja, ni wale watu wanajifanyaga hawana upande mchana kumbe usiku wanapiga masanga na shetani.
Nilimtambua mapema sana kwa ulaghai wake.
 
Kila nikimsikiliza nawaza haya maongezi yake, anaongeaje na Boss wake wakiwa wawili
 
Back
Top Bottom