Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

Sio kwa maslahi yako na kufanya nchi kama shamba la bibi yake
 

Attachments

  • instaget.mp4
    1.8 MB
Anajaribu kuplay smart , Boss wa darasa la sana sidhan kama anaelewa
 

Attachments

  • v1c044g50000d6hiu5nog65hee3cr8ng.mp4
    1.7 MB
Uzuri huyu hawezi kumfanya kitu . Wote wamechaguliwa na wananchi

Sio yule Mwigulu anaezunguka nchi mzima na Hana impact yoyote zaidi ya kuonekana kituko

Nchi hiyo isirudie tena kuongozwa na mwanamke- iwe ni mwanzo na mwisho
 

Attachments

  • v1c025g50000d6k0ebfog65n0kk2ktkg.mp4
    2.2 MB
Kuhusu kiwanja niliwahi sikia pia,so tumpe credits???
 
Jamaa ananuka mboga mboga at the same time ana nunukia utanganyika,kila neno akitoa nasikia kama kumpa credits lakini kila nikikumbuka yale mauaji,narudi nyuma.

Lakini mara kwa mara naona Tanganyika spirit hang out on his mouth just like magu.

My opinionšŸ‘†
 
He talks sense, but he’s in the wrong club (guilty by association)!
Wote lao moja ila wanatuchezea good cop & bad cop.

Wakati mmoja akiwa anakuumiza, mwingine huja kujifanya hapendezewi na kile anachokufanyia mwenzake.

Lakini muda wa kula wanakaa meza moja na kugonga cheazzz.

Hivyo wajinga ni sisi
 
Tunataka mabadiliko ya mifumo na katiba, bado mnataka kurudia kosa lilelile la kuwaamini wanaccm mmojammoja? Juzi tulikuwa na Magufuli akijiita mzalendo, lakini akawa hataki katiba mpya. Baada ya miaka mitano kafariki na hatuna katiba mpya. Leo mnaleta hadithi hizi za Nchimbi, wakati naye ni sehemu ya chama kisichotaka katiba mpya, mna matatizo gani?
 
Wanaamini tayari wapo mbinguni na wake 70
Udini ndio unawasumbua tu! Sababu Huyo bwana ni mkristo mwenzenu tu? Comment yako ya sijui bikira 70, dhahiri imeonyesha chuki zenu....akitoka Samia anakuja Ridhiwan kikwete.
 
Aisee
 
Hata mimi ananipa mixed feelings . Tatizo kubwa ni mboga mboga

Sio yule mnyeramba anazunguka nchi nzima na Hana impact!
 
Udini ndio unawasumbua tu! Sababu Huyo bwana ni mkristo mwenzenu tu? Comment yako ya sijui bikira 70, dhahiri imeonyesha chuki zenu....akitoka Samia anakuja Ridhiwan kikwete.
Mimi dini itanipa kula
Baki na ujinga wako
 
Katiba mpya tunaitaka I
 
Ndio maana
Wote lao moja ila wanatuchezea good cop & bad cop.

Wakati mmoja akiwa anakuumiza, mwingine huja kujifanya hapendezewi na kile anachokufanyia mwenzake.

Lakini muda wa kula wanakaa meza moja na kugonga cheazzz.

Hivyo wajinga ni sisi
nasema tuwaondoe wote hawaaminiki tena
 
Kwenye falsafa ya utawala, hekima ya mtu mmoja haiwezi kamwe kushinda systemic folly.

Nchimbi anajua nchi inavyopaswa kwenda, lakini anatumikia ramani iliyochorwa na mtu asiyejua dira.
Hatar sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…