Unamuamini Nchimbi mtu ambaye hana anachosimamia zaidi ya cheo tu.All odds zinaonesha Nchimbi is not satisfied na Behavior za Boss wake na anapoipeleka nchi na namna nchi inavyoendeshwa kwa level za darasa la saba.
Nikimnukuu Nchimbi, β Ni Ujinga nchi yenu moja mkawa mnagombana kwa vyama, pia alisisitiza utumishi sio lazima uwe CCM, hivyo kaeni mjenge nchi yenu) - yalikuwa ni maneno mazito kwa mwenye tafakuru-alisema pia hapendezwi na hayo mambo-
Lakini Boss wake kwa namna yoyote hakuwahi kuoneshwa kusikitishwa na massacre.
Rais akili yake ipo kwenye mikopo, unakazi ya kukopa tu but Huna financial management intelligence badala yake unachokikopa kinaenda kwenye mikono ya watu - ni mambo ya kijinga sana.
Ikumbukwe Nchimbi ni PhD holder -Ameingia kwenye Viva Voce Pannel na amesulubika- kuna vitu ataviongea tu kutokana na level yake ya elimu .- Nchimbi aliamua kwenda kutubu hivi karibuni na Pop alimuuliza maswali mengi sana juu ya Oct 29.
Ninaomba tumsikilize PhD holder nchimbi n, kila akiongea automatically ana undermine akili za Boss wake . Maana Boss wake kila akifungua mdomo ni vihoja na nyuma yake anaacha zogo kubwa
nayoSio kweli kuwa alifeli daasa saba, bali ni hakuchaguliwa!, kwenye daasa saba hakuna kufeli na kupasi, kuna kuchaguliwa na kutokuchagukiwa!. Kufeli na kupasi ni Form IV, kwa Zanzibar mtu mwenye D mbili, huyo ni ana akili sana!, kwasababu Wazanzibari wengi wana akili sana kuliko Wabara ila walikuwa wanafelishwa na NECTA, zile D mbili za Zanzibar, ni equavilent na Div II ya huku bara!. Hili niliwahi kuliulizia humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Na nilipofanya utafiti inakuwaje?, nikaandaa dodoso na kufanya hojaji humu Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?
Ndipo nikagundua kumbe NECTA ilikuwa inawafelisha watu wa dini fulani ili waonekane vilaza! .
P
Yes it is true, Mkuu Al Anisa Maalim Mohamed Said ameisha leta ushahidi humu mara kibao!Mmmmh Kufelisha watu wa dini fulani , hii ni claim kaka , kuna evidence ,
Wazanzibari are very smart and especially Wapembatumesoma pia na wapembaβ¦.. sijaelewa hapo unaposema they are smart .
Habari leo imeondoa clip za hutuba, kuna tatizo ?Yes it is true, Mkuu Al Anisa Maalim Mohamed Said ameisha leta ushahidi humu mara kibao!
Wazanzibari are very smart and especially Wapemba
- Urais wa JMT kupitia chama fulani ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu
- Japo haijaandikwa popote, lakini akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki na akiwa Muislamu, lazima atoke Zanzibar!
- JKN alikuwa Mkristo Mkatoliki, baada yake akaja AHM Muislamu kutoka Zanzibar, akafuatiwa na BWM , Mkristo Mkatoliki kutoka Bara.
- Ben alipaswa kufuatiwa na Muislamu kutoka Zanzibar, alikuwa ni Dr. Omar Ali Juma, ikabidi aondoshwe kutoa nafasi kwa Muislamu kutoka Bara kuingia!, watu wa kazi zao, (nawajua) wakafanya yao! (Nayajua), Dr. Omar akaondoshwa to pave the way k
Kama Samia alivyokuwa na Tamaa ya boss waketatizo la mchimbi ana tamaa na nafasi ya bosi wake,aondoe hilo wazo kichwani kwake malamoja la sivyo atadhalilika huko mbeleni. kupachika wabunge wake kila mahali asifikili watampa anachotamani.
Hiyo paragraph ya mwisho tayari umeshafaulu kuwagawa watu π³ !Ni kweli usemalo, pale Tabata maeneo ya Mwananchi nadhan ndipo Alipoishi na amejenga pale wengi wanasema ni mtu mwenye characters. Tatizo kubwa yupo CCM β¦ automatically imani Inapotea kwake. Hata matembezi yake Vatican yalikuwa remembrance kwa yaliyotokea na kujitafakari
Mama maushungi yeye anaejisifu na imani yake hata kutubu au kulainisha nafsi yake ameshindwa badala yake anachambana na wananchi mambo ya kijinga sana
Nadhan atakuwa amezoea zile story za umwagaji damu alizofundishwa madrasa
Usimsingizie Samia, ni kamati ya ufundi ndio ilifanya jambo Samia hakujua chochote!Kama Samia alivyokuwa na Tamaa ya boss wake
Duh π!Usimsingizie Samia, ni kamati ya ufundi ndio ilifanya jambo Samia hakujua chochote!
P
Kujiuzuru ni kuyakimbia matatizo !Hapo ndio wanapo win, wanasoma scripts ukidhani anakemea lengo kurudisha imani kwao kwamba kuna watu awapendi kinachoendelea, je kama apendi kwanini asijihudhuru?
Kaka nakupa siri, Samia alikuwa anatumika na ndio alifacilitate snaa JPM kufikiwa kwa karibu na vijana mfumo wasiokuwa na uzalendoUsimsingizie Samia, ni kamati ya ufundi ndio ilifanya jambo Samia hakujua chochote!
P