Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

Ndio mkuu, nimesema 20 x 20 sina mpango nao, angalau iwe sqm 800. hao consultant kuwapata ndio sijui,ila kuna jamaa alishauri kabla ya kunuua niende kwanza klwenye ofisi za serikali ya mitaa ku confirm kuhusu hilo eneo, sijui kama hii inasaidia kiasi gani , maana hata hizi serikali huwa zinabadilika

Nikikosa maeneo yenyebhuduma na intaneti nzuri kwa baei ya milioni 10 itabidi ninunue tu vya huko porini kisha nianze kujenga mdogo mdogo hadi huduma muhimu zikifikia basi nihamie
 
Ushauri nenda chamazi kumejengeka vizuri na viwanja bei rahisi.. na maji unajichimbia tu
aisee chanika na Chamazi kuna viwanja na nyumba za bei rahisi sana hadi kunanipa wasiwasi, yaani nyumba imekamilika kabisa inauzwa milioni 20, nataka kujua kwa nini ni bei rahisi kuliko kwingine kabla sijanunua
Ushauri nenda chamazi kumejengeka vizuri na viwanja bei rahisi.. na maji unajichimbia tu
 
Shekh fanya nikakupe plot yangu ya acre 1,chanika-kitanga 7.5M kama zawadi ya Ramadhani.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Nitafute DM

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…