Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ale pumba?Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Wamisha kinehe shemegi.Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Kwel kabisa... Anamzalilisha... Kula mwanetuDemu anakushindaje kula, Acha uzembe.
Demu akila robo, we unatakiwa ule robotatu.
Hata NGO hawali vipi?Ugali na maziwa... Wali nyama... Makebwe na maziwa... Ila kama ni kwa shughuli za harusi wanakujaga mpaka ndugu wa ndugu wa ndugu aliekuwaga ndugu... Ko Andaa ng'ombe 6 na kilo 1000 za mchele
Kwa sababu ni wachapakaziHao watu wanakula kama mchwa..debe la mahindi linaliwa siku mbili tu limeisha
NGO ndio nn?Hata NGO hawali vipi?
UbuntuUgali na maziwa... Wali nyama... Makebwe na maziwa... Ila kama ni kwa shughuli za harusi wanakujaga mpaka ndugu wa ndugu wa ndugu aliekuwaga ndugu... Ko Andaa ng'ombe 6 na kilo 1000 za mchele
Nilimaanisha kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.NGO ndio nn?