Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
 
Demu wako anakula kuliko wewe?! Kuna siku utakuja kula makofi.
 
Wasukuma ni jamii poa sana ukitaka kuinjoi sehemu ya kuishi tza ukaishi usukumani hawana tabu kabisa ni jamii inayoishi kifamilia kijamaa sana na upendo mkubwa.
Kwa tza usukumani ndio falsafa ya Ubuntu ipo juu kuliko kabila lolote tza.
Kule unapokelewa kwa mikono na roho moja ila ukiharibu ndio utajua ujui.
Hii jamii poa sana ila uwe vizuri spiritual maana gamboshi ipo jirani.
 
5aa607ac773fd9865370554217a706e1-jpg.3038919

Mwenzako sijutii kuoa msukuma, kama hapo ni breakfast tu....ndoa tamu aisee..
 
Ugali, viazi na maziwa tu mkuu. Wasukuma ni wakulima na wafugaji, hivyo sio watu wa njaa njaa, ni watu wakula vizuri.
 
Back
Top Bottom