Nataka kuoa single mother wawatoto wawili, hata mimi nina watoto wawili pia

Safi tu mwanetu ndio maana ya BOTH TEAM TO SCORE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maswali kwako:-

je, hao watoto amezaa na mwanaume mmoja au kila Mtoto ana baba yake?

Na kama watoto wote ni baba mmoja huyo baba yuko hai?/ mahusiano yao yakoje?

Kama watoto aliwapata kwa wanaume tofauti je, kwanini mume wa kwanza azae nae amuache kisha wa pili hivyo hivyo!?

Umesema yuko na heshima, utii n.k haya mambo ni mazuri sana ila miezi mitatu ni michache sana, hapo inabidi uwe makini sana na uendelee kumsoma na uhakikishe pasipo shaka kuwa kweli yuko hivyo au anaigiza ili a win ndoa.
 
vipi nahisi kama uyu unayetaka kumuoa ana vigezo unavyohitaji
kama anavyo fanya maisha kaka mkubwa
 
Ewaaah.!! Hapo oa wote mshapigwa matukio na wote mmeanza mechi kila mmoja ana magoli y’a kuanzia..!
Hapo kupambania ubingwa hiyo ndoa nzuri wote makamanda wa vita.!!

Usinisahau kadi nije kula pilau mkuu 😜
 
Asante sana kwa maelezo yaliyoshiba mkuu, ubarikiwe sana,.
 
Napigilia msumari wa pili, I second
 
Ewaaah.!! Hapo oa wote mshapigwa matukio na wote mmeanza mechi kila mmoja ana magoli y’a kuanzia..!
Hapo kupambania ubingwa hiyo ndoa nzuri wote makamanda wa vita.!!

Usinisahau kadi nije kula pilau mkuu 😜
Uende kula pilau kwenye sherehe ya ndoa ya single mother?
Single mama kabisa kabisa unaamua kumuoa kwa kulipa mahali na kufanya sherehe?
Acha kumtwisha ujinga mwenzako.
 
Owa tu,lakini hawo watoto wako wawili tafuta mahali kama ni kwa bibi yao,au popote ambako watakuwa salama,maana hapo wewe utaishi vizuri lakini nyuma ya pazia hawo watoto watakuwa wapo gerezani.
 
Ana watoto wawili nje ya ndoa halafu unatuambia kuwa kwenye maadili yupo vizuri,taratibu naanza kuamini kuwa uchawi upo na warogwaji wapo.
Anamuonea huruma hua wanabadirikia mbele ya safari hapo mwanzo wanakua km malaika km hawajawahi kubanduliwa, au nasema uongo To yeye?
 
Nafurahia ushauri mnaonipatia hapa wanajamii forum,watoto wote wa baba mmoja,aliolewa ndoa ya kimila nahuyo jamaa kukatokea mgogoro mkubwa wa kifamilia na wawe zake huyu dada all in all ushauri nimeuenda sana ,asanteni sana.
 
Uende kula pilau kwenye sherehe ya ndoa ya single mother?
Single mama kabisa kabisa unaamua kumuoa kwa kulipa mahali na kufanya sherehe?
Acha kumtwisha ujinga mwenzako.
Acha uchawi πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndoa ni ndoa kikubwa maelewano na kupendana.!
Hao wote wamekutana ma single tatizo liko wapi??
 
Ana watoto wawili nje ya ndoa halafu unatuambia kuwa kwenye maadili yupo vizuri,taratibu naanza kuamini kuwa uchawi upo na warogwaji wapo.
Mm ndie nnawatoto wawili nje ya ndoa mkuu,yy amepata watoto wote wawili wakiume ndani ya ndoa wakwangu niwakike wote mkuu.
 
Mm ndie nnawatoto wawili nje ya ndoa mkuu,yy amepata watoto wote wawili wakiume ndani ya ndoa wakwangu niwakike wote mkuu.
Kaachana na mume aliyemzalisha ama kuna kaburi lake?
 
Mm ndie nnawatoto wawili nje ya ndoa mkuu,yy amepata watoto wote wawili wakiume ndani ya ndoa wakwangu niwakike wote mkuu.
Achana na hiyo bishara kafanye vitu vingine.....Tafuta katoto ka af mbili uwe unakata kiu.
 
Acha uchawi πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndoa ni ndoa kikubwa maelewano na kupendana.!
Hao wote wamekutana ma single tatizo liko wapi??
Hapo juu kaeleza huyo single mama kapata watoto hao ndani ya ndoa.
Nimemuuliza huyo mwanaume aliyemzalisha yupo ama kuna kaburi lake?
Nasubiri majibu hili nijue tunamshauri mtu ama chizi.
 
Jilipue tu mkuu. Hapo mechi haijaanza kila timu ina bao mbili za mezani. Maisha ndio haya haya
 
Dahhhh,hivi suala la mm kua nawatoto wawili nje ya ndoa tena mamatofauti inaaonekana sio zito,by the way malezi ya watoto wangu miongoni mwa jambo nnalolitazama pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…