Nataka kuoa single mother wawatoto wawili, hata mimi nina watoto wawili pia

Hakuna mwanamke anayeweza kuwapenda watoto wa Kambo, atawajali wa kwake na watoto wako cha moto watakiona.

Mtu una watoto unahangaika na Mindoa ya nini sasa ?
 

Kwa historia hii mzee baba ni bora uendelee kuwa single tu...
 
Acha ujinga

Inasikitisha kuona kila siku wanaume wanashusha standards za wanawake wa kuwaoa

Kweli single mom ni mwanamke wa kumuoa?

Mbweha mkubwa wewe
 
Achana naye.

Ni mabingwa wa kuigiza hao.
 
Asante sana kaka
 
Baba wa watoto wa huyo dada wanasema hivohivp nao kuwa utiufu hamna ila kama ww unaona ni mwanaume unaweza toboa wanaume wenzako walipoferi ayaaa
 
Hata huyu naona kama tu utamuacha, anyways!
 
Madini haya hapa..
 
Mimi na my partner wote tuna watoto watatu,kila mmoja from her/his past failed marriage.

Ana mji wake na nina mji wangu.
Watoto wetu wa kwanza na wa pili ni wakubwa,kiasi most of their times hawakai nyumbani!
Wa mwisho kwetu sote ndo home full time.
Tumekubaliana kila mmoja kubakia kwake, kila mmoja kuwasogeza watoto wale wakubwa mpk wajitegemee fully.
Kisha huko mbele hawa wadogo wawili tutachanganya kuwalea pamoja.
Ambapo tutaacha miji yote miwili, tutakuwa tumeshaestablish mji mwingine, ambao tutaishi na hawa wadogo mpk watakapokua na kutuacha hapo.

Ile miji miwili tunayoishi sasa, itabaki kwa umiliki wa watoto wetu watatu wa kwanza, respectively
Huu mji mwingine, utakuwa kwa ajili yetu sisi, hatuongezi watoto wengine.
Mungu bariki tutaishi hapo mpk Mungu atakapotuchukua, na huo mji wa tatu utakuwa a shared property kwa wajukuu wataotokana na watoto wote 6.

For the time being, tunaishi as a SINGLE MOM and SINGLE DAD ambao are not SINGLEs

Najua sio arrangement rahisi kwa wengi, ukiweza itumie.
 
Elezea vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…