Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nakuambia ,fanya hivyoutakuja kunipa zawadi.
π€£π€£π€£ ubaya wa maigizo huwa muigizaji uchoka tu kuna muda unakuwa real yaan wewe sasa hapo ndio tafrani πππNyenyekea
Mfaham ye anataka nini pia ni vitu gani ambavyo hua hataki...
Uwe unajishusha sana kwake pia pendelea kumsifia na kumpongeza pare anapofanya jambo zuri bira kujari kafanya kwa jamii au kakufanyia wewe
Kwanza usiwe desparate kupata huyo mtu, we kuwa kawaida endelea na maisha yako atakuja tu.
Pili usiwe tooo nice nature yetu binadamu tunajifanya "hatupendi tunachokipenda" ukiwa tooo nice utabaki mchep tu foreva and eva
Mwisho hebu kuwa nao wawili au watatu (simaanishi kulala nao) ishi naooo halafu utachagua mmoja anaefaa
Kasome kitabu kinaitwa "why men marry bitches" hadi hapa ukishindwa mapinduzi nenda tu konvetini dada ukawe sista.
Hebu njoo tufanye Manisha hapa kwangu kwedikwazu handeni
Achana na wa mjini huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubaya wa maigizo huwa muigizaji uchoka tu kuna muda unakuwa real yaan wewe sasa hapo ndio tafrani [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukionesha uko tofauti na yule aliyenaye kwa tabia nzuri atakolea nakwambia.Angalizo usifanye yale yatakayo kushusha thamani,mfano kusex sana mpka akakuhis vibaya ama kumpa 0713 nk.Behave kama mama zetu walivyokuwa.Mfariji,mtie moyo,mpe akihitaji ila kikawaida.Tafuta anaxhopenda muwekee close kama anapenda miziki ya kizungu tafuta anazopenda muimbie,mchezee kidogo kidogo huku ukimtikisia mkia ama kachura.Hawezi chomokaDaah ngoja nianze sema ngumu aisee haswa kwa kuwa nimejua ana mtu so hiyo kuigiza inaweza nishinda what if nikapoteza muda wangu hapo na wasiachane
Hao wanaume wote si huwa mnakuwa na mahusiano ya kingono?
Eve,neKwanza usiwe desparate kupata huyo mtu, we kuwa kawaida endelea na maisha yako atakuja tu.
Pili usiwe tooo nice nature yetu binadamu tunajifanya "hatupendi tunachokipenda" ukiwa tooo nice utabaki mchep tu foreva and eva
Mwisho hebu kuwa nao wawili au watatu (simaanishi kulala nao) ishi naooo halafu utachagua mmoja anaefaa
Kasome kitabu kinaitwa "why men marry bitches" hadi hapa ukishindwa mapinduzi nenda tu konvetini dada ukawe sista.
Eve,nitumie soft copy ya hicho kitabu au nielekeze wapi ntakipataKwanza usiwe desparate kupata huyo mtu, we kuwa kawaida endelea na maisha yako atakuja tu.
Pili usiwe tooo nice nature yetu binadamu tunajifanya "hatupendi tunachokipenda" ukiwa tooo nice utabaki mchep tu foreva and eva
Mwisho hebu kuwa nao wawili au watatu (simaanishi kulala nao) ishi naooo halafu utachagua mmoja anaefaa
Kasome kitabu kinaitwa "why men marry bitches" hadi hapa ukishindwa mapinduzi nenda tu konvetini dada ukawe sista.
Ukionesha uko tofauti na yule aliyenaye kwa tabia nzuri atakolea nakwambia.Angalizo usifanye yale yatakayo kushusha thamani,mfano kusex sana mpka akakuhis vibaya ama kumpa 0713 nk.Behave kama mama zetu walivyokuwa.Mfariji,mtie moyo,mpe akihitaji ila kikawaida.Tafuta anaxhopenda muwekee close kama anapenda miziki ya kizungu tafuta anazopenda muimbie,mchezee kidogo kidogo huku ukimtikisia mkia ama kachura.Hawezi chomoka
Kuna uzi umo humu unaitwa jf Book worms utakipataEve,ne
Eve,nitumie soft copy ya hicho kitabu au nielekeze wapi ntakipata
Napata hata uvivu kukuelezea.....kasome hicho kitabu nmekuambia kila kitu kipo muleHiyo ya pili unielezee vizuri sijaelewa
Hlw Side check, say hi to Main Chick [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Bi mdogo hujambo?,, kumbe wew ndo unafanya npandishwe cheo uku
Kitendo cha kutoa uchi kwa mwanaume ambaye sio mume wako ni umalayaHapana mkuu sio wote