Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Kufanya mapenzi na mtu ambaye siyo mkeo ama mumeo ni mambo mawili tu
1.Uasherati kwa ambao hawajaolewa au kuoa.
2.Uzinzi kwa walio kwenye ndoa.
Umalaya ni kufanya tendo la kujamiiana ili ulipwe ujira.
Kwa mleta mada hajaongelea lolote katika hayo matatu,alichoongelea ni kupata mtu wakawa na mahusiano ya kudumu muda mrefu zaidi ya miezi michache kama yalivyomkuta.Mahusiano si lazima yahusishe kujamiiana na kujamiiana kukiwepo,bado si umalaya hadi kuwepo kuuziana na kununuliana mwili.Umalaya ni biashara ya kuuza huduma ya kujamiiana.
 

Asante mkuu maana Kuna watu wana makasiriko na uzi wangu Kama tunafahamiana
 
Wasikudanganye hawa kuwa una tatizo; Sometimes shit happens regardless!!
KUna watu wana tabia mbaya kwa macho hawafai kabisa kuwa na ndoa ama mahusiano serious ila wanayo na wanabembelezwa. Wapo pia wanaofaa ila hawapati hio bahati!!
Unaweza kuamua chochote ni maamuzi yako.
Cha kukushauri mm achana na mapenzi focus n yourself, wewe jizingatie tu mapenzi yatakuja yenyewe.. hayo yanayokutokea sio mageni ila shida ni kwakua umefocus sana na mapenzi chochote ukikizingatia sana lazima ukionee kasoro....
Watu wana situation kama yako ila hawaoni kama ni shida kwakua wana mambo yao mengine ya msingi wanayazingatia. We only live once stop making things difficult for yourself
 
itakuwa umlimnyima ududu huko pm[emoji23]
 
Sawa side chick
 
Unaweza;
Mganga ni ww mwenyewe!
 
Hakuna mwanaume ambaye anataka afanye maisha na malaya

Nyinyi malaya ni wa kupiga hit and run
Ndivyo ilivyo, na wenyewe wanajijua kuwa kwa style hii nimekuwa wa kuliwa na kuachwa. Idk how they feel ila kwa mwanamke mwenye kujitambua it's a bad feeling, kuvua kwa mtu mpya every now and then sio sawa kwa mwanamke anayenitambua.
 
Daah ngoja nianze sema ngumu aisee haswa kwa kuwa nimejua ana mtu so hiyo kuigiza inaweza nishinda what if nikapoteza muda wangu hapo na wasiachane
Sasa kama ushauri huu unaona mgumu kwako then haupo serious na uzi wako huu kuna ushauri gani mwengine utapewa zaidi ya kuambiwa kiwa Submissive kwa huyo mwanaume.

Uzi unahusu mapinduzi na hizo ndio mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…